Recent content by P. Majaribu

  1. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

    Zile maiti zilizozikwa kando ya mtu ruvu hazina maana kwao.
  2. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuku wa kienyeji wadogo

    Upo wapi?
  3. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu, naomba kazi ya Kufanya

    Njoo mtibwa kuna kazi ya kupala miwa.
  4. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Jamani Mtaani Ni Kugumu, omba yasikukute!

    Wewe baada ya kujiangalia wewe na maisha yako,unaanza kumlalamikia aliyekuambia ujiajri.Nenda basi kilombero utapata kazi ya kupalamiwa.
  5. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Kama wewe umeajiriwa au kiongozi huna haki kuwaambia wasio na ajira wajiajiri

    Jipe moyo tu mama yangu,na siku hizi mabenki yanataka kusitisha mikopo tutaheshimiana tu.
  6. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Msaada; mwenye ukoka mwembamba sana

    Ninao ukoka mwembamba,sasa sijui utataka ukatiwe au utakata mwenyewe,kwani ni mwembamba sana.
  7. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi alikuwa anagawa kichapo maeneo ya Mlimani City

    Alafu gari lenyewe la shemeji yake.
  8. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Ajira za Rais Magufuli zitalitikisa taifa kwa furaha

    Hawa ndiyo vijana wa kitanzania,waishio kwa matumaini huku siku zikiyoyoma tu.
  9. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vifaranga aina yoyote.nipo.moshi

    Nina vifaranga vya mwewe vina wiki 1nauza kwa sh 500 tu.
  10. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

    Wanasiasa wa ACT maendeleo siyo wa kuwaamini kabisa wanachokizungumza.
  11. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Usiombe upunguzwe au kukosa kazi ghafla zama hizi.. NSSF na PPF wanakuchinjia baharini

    Huu uoga wa maisha utaisha lini,kwahiyo PPF wakizuia mafao yako wewe utaendelea kutubu kwa muajiri tu hadi uzeeke.Tumia akili kutafuta vyanzo vingine vya kujikwamua.
  12. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania i am shocked with these informations

    Makameee bora tuingie chomboni tuendelee kuvua pweza tu,siku hizi skuli zimekuwa ghali ati.
  13. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Nini husababisha mtoto kulia sana usiku?

    Jibu la kitafiti hili hapa.
  14. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuku aina ya kuchi

    Maneno ya huyo jamaa yana ukweli pia.Biashara za humu zinahitaji roho ngumu sana,kwani watu wengi wanaishi kwa kufuata mkumbo tu.
  15. P. Majaribu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kuku aina ya kuchi

    Kuchi ni adimu sana mzee,wanakwenda kwa oda.Changamka sasa
Back
Top Bottom