Mimi ni Mwalimu, naomba kazi ya Kufanya

Mimi ni Mwalimu, naomba kazi ya Kufanya

Mukundumbusya

Senior Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
168
Reaction score
143
Sitaki kuamini kwamba nina mkosi, ila ni kweli kwamba kulingana na mabadiliko ya kiutawala maisha yamebadika sana.
Ndugu zangu, najua ujumbe huu utasomwa na watu wa aina mbali mbali wakiwemo waajiri.
Ingawa haileti picha nzuri katika mazingira rasimi ila sina namna nyingine inanibidi tu nifanye hivi. Ndugu zangu wenye makampuni au taasisi NAOMBA KAZI YA KUFANYA.
Kitaaluma nina shahada ya kwanza ya Elimu katika masoma ya Kiingereza na Historia.
Sina ujuzi mwingine rasimi ila ni mtu ambae najifunza haraka sana na napenda kujifunza.
Nimefikia hatua hii baada ya kutafuta sana kazi ya kufanya bila mafanikio.
Namba yangu ni 0769015725
Kwa sasa nipo Dar es Salaam, ila nipo tayari kufanya kazi popote.
Natanguliza shukurani.
 
hadi leo haujui mkosi wako ni nini?badili hilo jina,nani anataka kumwita mfanyakazi jina kama anatukana?
 
Dàa pole sana lkn omba mungu utafanikiwa afu hiyo taaluma kupata kaz inawezekana usfe moyo
 
...ila sina namna nyingine inanibidi tu nifanye hivi. Ndugu zangu wenye makampuni au taasisi NAOMBA KAZI YA KUFANYA..

Kila la kheri bwana Mkundumbusya. Ila (kama hujaanza), anzisha tuition hapo hapo mtaani kwako huku ukiingiza hata vijihela vya vocha badala ya kukaa tu ukivizia upewe kazi kwenye makampuni na taasisi. Si unajua mzee wetu mpendwa anahakiki na kabana kila kona? Ajira zinaweza zikamuvuzishwa hadi March 2017
 
Kila la kheri bwana Mkundumbusya. Ila (kama hujaanza), anzisha tuition hapo hapo mtaani kwako huku ukiingiza hata vijihela vya vocha badala ya kukaa tu ukivizia upewe kazi kwenye makampuni na taasisi. Si unajua mzee wetu mpendwa anahakiki na kabana kila kona? Ajira zinaweza zikamuvuzishwa hadi March 2017
Ahsante kwa wazo ndugu. Ubarikiwe Consultant
 
Mukundubusya jina la mkosi
Acha dharau ww mwenzio kaeleza yake ya moyoni ww unatoa pumba zko hapo kuwa na akili mda mwingine.nyie ndio wachawi wenyewe mpo humu humu
 
Back
Top Bottom