Waziri Mkuu aagiza kaburi la Faru John lifukuliwe

Manyerere Jackton

Verified Member
Dec 11, 2012
2,420
2,000

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kufuatiliwa kwa Vina Saba vya Faru John anayedaiwa kuwa amefariki, ameunda timu ya wataalamu kwenda kufukua kaburi alilozikwa Faru huyo na wachunguze kama vina saba vyake vinaendana na vya watoto wake waliopo Ngorongoro Kreta.

Amesema bado kuna utata kuhusu kuanza kuugua kwa Faru huyo na kifo chake, amesema kuba namna taarifa za tangu kuugua kwake mpaka kufariki hazijakaa vizuri.

Pia ameagiza ya masalia ya John yapimwe vinasaba na ilinganishwe na ya pembe alizooneshwa.

Chanzo: Mimi mwenyewe
 

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,391
2,000
Muda huu katangaza hapa Arusha. Kaburi lifukuliwe, DNA ya masalia ya John ilinganishwe na ya pembe aliyooneshwa.
Chanzo: mimi mwenyewe
Tuwe tunakwenda kitaalamu namna hii. Ni muhimu serkali ijiridhishe na rekodi sahihi ziwekwe. Mambo yakitaalamu yaende kitaalamu.

Drastic change of habitat may cause shock or stress and ultimately death to animals. Verts should have pedicted this impact and take mitigations.

Wale faru waliopelekwa Mkomazi NP kutoka SA vipi wapo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom