Recent content by Ozee

  1. Ozee

    SUA ni kama juventus.

    Amani mkuu.....
  2. Ozee

    SUA ni kama juventus.

    jamani punguzeni jazba, mimi kama nilivyomwelewa,na nadhani ndivyo hivyo, watanzania wengi hawako familiar na chuo cha SUA. Wengi utawasikia wakitaja UDOM,UDSM na vingine na siio kwamba SUA ni vilaza au vitu kama hivyo..
  3. Ozee

    Msaada please

    hivi kuna tofauti kati ya maharage na maharagwe au ni maneno mawili yenye maana moja?? na lipi ni neno sahihi??
  4. Ozee

    Je, unakumbuka ulivyokuwa ukifikiria ulipokuwa mtoto?

    nilikuwa nasikia watu wakimwita balozi wa kijiji chetu Ngamilo basi nikajua mabalozi wote wanaitwa mangamilo yani ni kama jina la cheo chao..
  5. Ozee

    Lulu atoroka

    akifikisha miaka 18 nimkabidhi kwa nani?
  6. Ozee

    Difference between Boys and Girls while using ATM

    mhh! kwa girls vitu vichache tu ndo vya kweli, vingi ni uwongo..
  7. Ozee

    JamiiForums game of the year

    soda nazo zina madhara jamani, punguzeni matumizi yake..
  8. Ozee

    Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

    Namkumbuka Zena na Betina na mzee kifimbo cheza..
  9. Ozee

    COCA COLA/PEPSI basi tena kumbe ina matumizi mengine!

    Ni kweli kabisa hayo. Soda hizi hasa hizo coca na pepsi zina madhara mwilini hasa kwenye mifupa. Ukitaka kujua madhara yake, tafuta mifupa, ya ng'ombe au mnyama yeyote, weka kwenye chombo halafu mimina soda ya coca au pepsi uache kwa muda kama siku nzima hivi..
  10. Ozee

    mlevi

    dah!hiyo kali,kwel ulev noumer..
  11. Ozee

    Jamani hivi hili la kubadili chuo ulichopangwa na TCU linawezekana kweli!

    Cdhan kama itawezekana cz tcu walisema kwa hii system mpya,haifai kubadilisha course au chuo ulichopangwa..
  12. Ozee

    Bod ya mikopo Live Chanel 10.

    So wamesema ile hela ni ya mwaka mmoja?yani kila mwaka unapewa kiasi kilichoandikwa pale??
  13. Ozee

    Msaada wa mawazo plz.

    Aende 2,kwanza tcu walsema ukishachaguliwa koz haifai kubadlsha..
  14. Ozee

    Nini maana yake?

    Nashukuru,ila sijaelewa vizuri hapa,kwahiyo tukisema MWANAZUONI MKUU tunamzungumzia nani hasa?
  15. Ozee

    Naomba mnisaidie

    Nashukuru mkuu..
Back
Top Bottom