Naomba mnisaidie

Ozee

Member
May 11, 2011
31
1
Jamani naomba mnielezee,tetanus ni ugonjwa au ni kitu gani? Na kama nikichomwa na msumari na nisipochoma sindano ya tetanus kuna madhara gani?
 
nijuavyo tetanus ni ugonjwa unaosababishwa na bacteria aina ya clstridium tetani ambao hupatikana ktk mazingira tunayoishi na wengine wanasema hasa ktk jamii za wafugaji . they are anaerobic bacteria ie grow well in low oxygen environment. kwa hiyo ukipata injuries like, burn injury,sharp objects, nail pricks (deep) etc caused by unsterilized/contaminated objects ,these bacteria grow and release toxin which spreads along the neurons to the central nervous system where it binds to gangliosides and suppresses release of inhibitory neurotransmiters resulting into muscle spasms hence tetanus. death usully results from inability to breath
kama ukichomwa na msumary unaokidhi sifa hizo hapo juu unapaswa kupata sindano ya tetanus texoid ie TT kama hujawaki kupata zaidi ya ile ya utotoni au ulipata zaidi ya miaka 10 iliyopita au kama huna uhakika pia unaweza kupata coz haina madhara kivile ukilinganisha na tetanus yenyewe. ni hayo tu
 
Madhara ya tetenus huweza kusababisha kifo. Nina ndugu yangu alifariki baada ya kuchomwa na msumari mguuni na kucheleweshwa kufikishwa hospitali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom