Recent content by ozark

  1. ozark

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Bwawa hewa labda
  2. ozark

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili?

    Unaonekana una gubu sana,sometimes kuna age ukifika haya mambo ya spelling yanatokea na sio kwamba hafaham,ila kichwa kikiwa na mambo meng ni vigumu kuconcetrate
  3. ozark

    JamiiForums Tanzania FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Hivi TBC wataonesha kweli hii game?
  4. ozark

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

    Mbona inshu ya kawaida saana,yaan jamaa kupiga nje wewe unaona ajabu?
  5. ozark

    JamiiForums Tanzania Usikubali kulipwa mshahara maisha yako yote, kataa

    Hao polisi na madaktari wanatakiwa wafanye kazi miaka 10-15 watafute mitaji wajiajiri,then wawaachie graduates nao watafanya hivyo hivyo wataawaachia wengine, Hapo hakutakua na tatizo la ajira sababu vijana weng wataajiriwa,halaf pia wafanyabiashara hawatafilisika sababu kutakua na purchasing...
  6. ozark

    JamiiForums Tanzania Mikoa 8 kukumbwa na Mvua kubwa kwa siku 5 kuanzia Januari 30, 2024

    Bila shaka na bwawa la mtera tutafikiwa na mvua
  7. ozark

    JamiiForums Tanzania Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

    Hivi yule mzee wa Loliondo yupo?
  8. ozark

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

    Tuma kwanza nauli...
  9. ozark

    JamiiForums Tanzania Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

    Kua uyaone
  10. ozark

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli serikali haifahamu kero ya usafiri wa mabasi ya Mwendokasi?

    Yaan watu wa CCM wanafiki sana,mradi au kitu chochote kikifanya vizuri,MAMA ANAUPIGA MWINGI,ila kikiwa kibovu,mfano TANESCO,au barabara Mbovu,ccm haihusiki ni watu wengine wanaohusika. Rubish
  11. ozark

    JamiiForums Tanzania DStv hawataonesha michuano ya AFCON mwaka huu, Azam Tv atangaza kurusha mechi zote

    Hii ni tofauti,kwa AFCON jukumu lao ni kurusha tu,inshu za camera,replay ni kazi ya CAF . Kama ilivyo EPL,ambapo wengi huhisi ni dstv ndo wana camera nzuri,kumbe sio,ni kampuni separate imepewa iyo kazi
  12. ozark

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inategemea na idadi ya games au option
  13. ozark

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na wamekosa na penalt daah
Back
Top Bottom