Rais Samia: Tumekopa Sana ndani ya hii miaka 3 kwa ajili ya Huduma za Jamii sasa tunaenda kupunguza Ukopaji kwa miaka hii 2!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Rais Samia baada ya kuapisha viongozi wateule, amesema kuwa sasa serikali inakwenda kupunguza kukopa.

Tunakwenda kupunguza masuala ya kukopa hasa kwa huduma za jamii sababu katika miaka mitatu hii tumekopa sana kwa ajili ya huduma za jamii, elimu, afya, maji umeme na mambo mengine, sasa tunakokwenda miaka miwili hii mnajua fika matumizi makubwa yataelekea wapi, sasa ili fedha ziweze kurudi TAMISEMI lazima tufanye jitihada za makusanyo,"

Samia.jpg
 
Atuambie anavyoenda kupunguza ukopaji ndani ya hii miaka miwili serikali yake itaweza vipi kufidia gap litakalotokana na nakisi ya ukopaji?

Kwasababu pia, kwa maana nyingine ya hiyo kauli yake ni sawa na anasema sasa wanaenda kulipa madeni yaliyosababishwa na mikopo ya hiyo miaka mitatu.

Ndio atuambie, wana mipango gani ya kuhakikisha huduma za jamii zinaendelea kupatikana bora na kwa unafuu, huku wakiwa wanaendelea na kulipa hayo madeni waliyotengeneza kwa miaka mitatu?

Au mipango yenyewe ndie yale mambo ya NHIF!
 
Amekopea mafisadi

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Atuambie anavyoenda kupunguza ukopaji ndani ya hii miaka miwili serikali yake itaweza vipi kufidia gap litakalotokana na nakisi ya ukopaji?

Kwasababu pia, kwa maana nyingine ya hiyo kauli yake ni sawa na anasema sasa wanaenda kulipa madeni yaliyosababishwa na mikopo ya hiyo miaka mitatu.

Ndio atuambie, wana mipango gani ya kuhakikisha huduma za jamii zinaendelea kupatikana bora na kwa unafuu, huku wakiwa wanaendelea na kulipa hayo madeni waliyotengeneza kwa miaka mitatu?

Au mipango yenyewe ndie yale mambo ya NHIF!
Gap litazibwa na Dp World
 
Rais Samia baada ya kuapisha viongozi wateule, amesema kuwa sasa serikali inakwenda kupunguza kukopa.

Tunakwenda kupunguza masuala ya kukopa hasa kwa huduma za jamii sababu katika miaka mitatu hii tumekopa sana kwa ajili ya huduma za jamii, elimu, afya, maji umeme na mambo mengine, sasa tunakokwenda miaka miwili hii mnajua fika matumizi makubwa yataelekea wapi, sasa ili fedha ziweze kurudi TAMISEMI lazima tufanye jitihada za makusanyo,"

Mlikopa sana mkafanya Nini mbona sekta husika bado changamoto ni marundo?? Njaa ilivyokali mtakusanya Nini hasa??
 
Mama kopa ujenge barabara angalau kila mkoa uunganishwe na mwingine kwa lami madeni tutalipa hata vitukuu vyetu watalipa ila jenga lami wananchi tunateseka
Hata Mimi Namshangaa,yaani uache kukopa kufungua Uchumi wa Wananchi Bali uendelee kuwakamua kwa.makodi na matozo yasiyo na msingi?

Hivi mentality hii ya kuogopa kukopa nani aliwajaza Watanzania wakiwemo viongozi? Yaani Nchi inaogopa kukopa? Huu ni ulemavu wa kifikra.

Hakuna namna Nchi itaendelea bila kukopa.

Tanznaia ni mavumbi na haifikiki Kwa sehemu kubwa harafu hutaki kukopa Ili watu Waendelee kuwa maskini au?

Yaani unakutana kabisa na maskini anashangilia Nchi isikope bila kujua anaeumia Kwa sehemu kubwa ni yeye.Serikali isipokopa manake mzigo wa Kodi ni Kwa Mwananchi.
 
Rais Samia baada ya kuapisha viongozi wateule, amesema kuwa sasa serikali inakwenda kupunguza kukopa.

Tunakwenda kupunguza masuala ya kukopa hasa kwa huduma za jamii sababu katika miaka mitatu hii tumekopa sana kwa ajili ya huduma za jamii, elimu, afya, maji umeme na mambo mengine, sasa tunakokwenda miaka miwili hii mnajua fika matumizi makubwa yataelekea wapi, sasa ili fedha ziweze kurudi TAMISEMI lazima tufanye jitihada za makusanyo,"

Rais Samia baada ya kuapisha viongozi wateule, amesema kuwa sasa serikali inakwenda kupunguza kukopa.

Tunakwenda kupunguza masuala ya kukopa hasa kwa huduma za jamii sababu katika miaka mitatu hii tumekopa sana kwa ajili ya huduma za jamii, elimu, afya, maji umeme na mambo mengine, sasa tunakokwenda miaka miwili hii mnajua fika matumizi makubwa yataelekea wapi, sasa ili fedha ziweze kurudi TAMISEMI lazima tufanye jitihada za makusanyo,"

Sasa asije kukopa kws uchaguzi au kukubali misaada ya magharibi kwa kufanya uchaguzi. Moja ya mambo ya wamagharibi kumchukia magufuli ni kutokuomba msaada kwao kufanya uchaguzi. Kukubali misaada kwa uchaguzi ni kujidhalilisha sana na hii wamagharibi wanapenda sana. Kisha wakishakupa msaada wa uchaguzi watakupangia matokeo.
 
tupo pazuri sana, muelekeo ni mzuri zaid na kwa hakika Rais comrade Dr.SSH atatufikisha mbali vizuri kwa salama na amani...
 
Hata Mimi Namshangaa,yaani uache kukopa kufungua Uchumi wa Wananchi Bali uendelee kuwakamua kwa.makodi na matozo yasiyo na msingi?

Hivi mentality hii ya kuogopa kukopa nani aliwajaza Watanzania wakiwemo viongozi?
Wazungu wenzako.IMF WB WEF UN ILO
Yaani Nchi inaogopa kukopa? Huu ni ulemavu wa kifikra.
Umepima ulemavu wa kauli yako lakini?
Hakuna namna Nchi itaendelea bila kukopa.
Hakuna ukweli na kauli yako.
Tanznaia ni mavumbi na haifikiki Kwa sehemu kubwa harafu hutaki kukopa Ili watu Waendelee kuwa maskini au?
Sio ukweli hata kidogo, Tanzania ni mavumbi kwa kivipi, hizo barabara unazo sifia "Samia kajenga" zinawafikia kina nani?
Yaani unakutana kabisa na maskini anashangilia Nchi isikope bila kujua anaeumia
Unataka kutuambia Wataalam wote wanaosema nchi zisikope kope ni masikini. Punguza Lugha za Kuzodoa. Maskini ni fuvu lako.
Kwa sehemu kubwa ni yeye.Serikali isipokopa manake mzigo wa Kodi ni Kwa Mwananchi.
Wewe ndie mwenye ulemavu wa Kifikra.

Unasahau ripoti ya pandora papers. Yaani unajiomdoa ufahamu, sasa kama huo sio ulemavu ni nini?
 
Sasa asije kukopa kws uchaguzi au kukubali misaada ya magharibi kwa kufanya uchaguzi. Moja ya mambo ya wamagharibi kumchukia magufuli ni kutokuomba msaada kwao kufanya uchaguzi. Kukubali misaada kwa uchaguzi ni kujidhalilisha sana na hii wamagharibi wanapenda sana. Kisha wakishakupa msaada wa uchaguzi watakupangia matokeo.

Punguza ujinga wa kujitakia, uchaguzi nchi hii haufiki, wala kusogelea 500b. Sasa kwenye nchi yenye bajeti ya 40+ trillion, 500b ni Nini? Au hata ukilishwa propaganda za kitoto hujiongezi? Magufuli hakutaka hela za uchaguzi toka kwa wazungu Ili anajisi uchaguzi. Alijua akichukua hela za wazungu wasingekubaliana na ule ushenzi wake wa 2020.
 
Devota Minja vs Bilionea Abood

J J Mnyika analia machozi
 
Hata Mimi Namshangaa,yaani uache kukopa kufungua Uchumi wa Wananchi Bali uendelee kuwakamua kwa.makodi na matozo yasiyo na msingi?

Hivi mentality hii ya kuogopa kukopa nani aliwajaza Watanzania wakiwemo viongozi? Yaani Nchi inaogopa kukopa? Huu ni ulemavu wa kifikra.

Hakuna namna Nchi itaendelea bila kukopa.

Tanznaia ni mavumbi na haifikiki Kwa sehemu kubwa harafu hutaki kukopa Ili watu Waendelee kuwa maskini au?

Yaani unakutana kabisa na maskini anashangilia Nchi isikope bila kujua anaeumia Kwa sehemu kubwa ni yeye.Serikali isipokopa manake mzigo wa Kodi ni Kwa Mwananchi.
Mkopo sio tatizo kama utatumika kwa usahihi, kisha unatumia mkopo kwa matumizi ya kawaida ya serekali, huo sio wendawazimu ni nini.

Kukopa kisha ununulie viongozi wa serekali ma VXR, na mwenezi wa ccm akafanye ziara za mazingaombwe, ni sawa na mtu aliyekopa kisha akaenda kujenga heshima Bar.
 
Back
Top Bottom