Recent content by oyobo

  1. O

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Biashara ya mtandao ndo biashara ya kisasa ambayo unaweza an za na huo mtaji baada ya muda ukawa mtu wa tofauti kabisa
  2. O

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Mbona hajafunguliwa mashtaka hadi Leo??
  3. O

    Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    Yaani aende huko ambako Mzee Kingunge kawaacha anasema vijana ambao hawajitambui wapinga mabadiliko....itakuwa kichekesho japo ana haki ya kwenda anapotaka...pumzi kule imeshakata sijui atapumua vipi
  4. O

    Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Ukisoma huo uchambuzi kwa mtizamo wa kimrengo lazima uone ni porojo ila mtoa mada ameeleza uhalisia wa demokrasia ya mdomoni tu ambayo tunayo hapa nchini kwetu
  5. O

    Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    Yeye kasema anasubiri kwa hamu kuona uchaguzi wa mwaka huu kujua kama mkuu wetu wa nchi anahubiri tu demokrasia au anaizingatia na kumaanisha!! Tafsiri yake ni kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki..?? Maana yeye na wa Burundi wanalaumiwa hawana utawala wa demokrasia....Je anayewalaumu yeye...
  6. O

    Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Pongezi nyingi kwake kwa kuungana na wanamabadiliko...
  7. O

    Kingunge Ngombale Mwiru

    Vijana wanaojua kuwa rasilimali za nchi hii zimekuwa zinahujumiwa na sasa wanataka mabadiliko ya mfumo ili kuwa na utawala unaowajali na kuwasikiliza...Lugha za viroba ni lugha za mtaani zisizo na mashiko...Hapa tunajadili uhalisia
  8. O

    Kingunge Ngombale Mwiru

    Yeye mwenyewe alisema vijana wote wanaojitambua wanadai mabadiliko ila tu wale vijana wake aliokuwa anawaongoza ndo wapinga mabadiliko...ndo mlobaki sasa mnamwita hayo majina...badilikeni...haya ni majira huwezi kuyapinga...
  9. O

    Sasa napata picha, busara ilizokua nazo CCM zamani zilitokakana na kina Lowassa

    Waliolamba hela za Escrow wanagombea ubunge bila hata wasiwasi...hata kuwazuia kugombea imeshindikana...pumzi imeshakata mmebaki kulia lia tu
  10. O

    Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    Umenena vema...kiongozi huwa anasililiza zaidi na kuongea kidogo.Ndo maana tumepewa masikio mawili ili tusikilize sana na mdomo mmoja kwamba tuongee kidogo
  11. O

    Tunawezaje kuamini mabadiliko ya salamu?

    Kura zipo za kutosha na watu hawalali maana wameshajua mabadiliko hayakwepeki.Hakuna utawala unaovuka miaka 40 ukiwa madarakani.Ni nyakati hata maandiko yanasema anayelijua hili wala hapingi.
  12. O

    Tunawezaje kuamini mabadiliko ya salamu?

    Hakuna adui wa kudumu kwenye siasa ndugu.Mwaka 2002 Kenya waliunganisha nguvu na wengine wakajitoa iliyokuwa KANU wakaunda muungano wa upinde na kuchukua nchi.Marekani Rais wa sasa alikuwa hapatani kabisa na makamu wake wa rais alokuja mteua bwana Joe Biden.Sasa wewe unashangaa hayo Leo?Au ndo...
  13. O

    Tunawezaje kuamini mabadiliko ya salamu?

    Wewe ni CUF IPI uliyopo ilihali Maalim Seif kasimama Zenji kuwakilisha ukawa na dar wabunge kama mtatiro wapo na kwingineko na wana nguvu kubwa sana.Labda utakuwa mamluki uungane na prof
  14. O

    Tunawezaje kuamini mabadiliko ya salamu?

    Mpango wa mabadiliko Chadema umeanza kitambo kumbuka mwanzo wa kauli mbiu na nembo ya M4C....Lowasa kajakuongezea kasi...atasimamia matakwa ya wananchi kupitia muungano wa ukawa
Back
Top Bottom