Kingunge Ngombale Mwiru

Kingunge Ngombale Mwiru

Hapo ndipo CCM inapotuzidi Akiri,huyu mzee si mganga asilani ,ila ni mbinu ya ccm kuingiza watu wao kwenye BUNGE LA KATIKA kupitia kila nafasi inayojitokeza
HUYU MZEE KWANZA MCHAWI NA NDO MAANA AMEENDA BUNGE LA KATIBA KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI.SASA SIJUI WALILENGA AENDE KULOGA BAADHI YA MAMBO WATU WAWE WANASEMA ndiyoooo,kama walivyozoea magamba.
 
Huyo mzee kambarage alimpiga chini ukuu WA mkoa WA tanga reason mkewe alikuwa analangua kanga toka Kenya, the old has no any kind of moral authority, that's why mkuu amemuingiza kwenye kundi la waganganga WA kienyeji..
 
Ni jadi na tamaduni kutunza wazee. Ndio CCM wanachokifanya,wanampa mashavu kumsindikiza, Anaweza kuwa hajafanya lolote kwa nchi ila CCM. Kala kasaza anavuta siku.
 
Huyo kikongwe ndio anaochagua mtu wa kuwa rais na akishapata ndio yeye hupewa cheo hata kama kwenye katiba hamna lakini watambandika sehemu yoyote ile na hiyo inakuwa kama takirima na huyo hatoki mpaka adondoke na hapo tena basi atakuwa anakula kuku kwa mrija maana lina mimali kedekede kayachimbia ulaya na huku hujifanya kiongozi mnyonge kwa wananchi
 
UKAWA noma wamepokea wachawi mafisadi na majizi

Yeye mwenyewe alisema vijana wote wanaojitambua wanadai mabadiliko ila tu wale vijana wake aliokuwa anawaongoza ndo wapinga mabadiliko...ndo mlobaki sasa mnamwita hayo majina...badilikeni...haya ni majira huwezi kuyapinga...
 
Vijana gani wanaojitambua au unawazungumzia wale waopewa viroba na ukawa

Vijana wanaojua kuwa rasilimali za nchi hii zimekuwa zinahujumiwa na sasa wanataka mabadiliko ya mfumo ili kuwa na utawala unaowajali na kuwasikiliza...Lugha za viroba ni lugha za mtaani zisizo na mashiko...Hapa tunajadili uhalisia
 
Hana mchango wowote ktk nchi hii.

Alipewa uongozi kwa kuwa anatoka kwenye ukoo wa KINJEKITILE NGWALE yule muasisi wa vita ya maji maji kwa waliosoma history ya nchi hii kama mnakumbuka.

Otherwise, sioni mchango wake bali tutaendelea kumkumbuka huyo babu yake wa vita ya majimaji basiii.
 
Huu nao ni upepo tu utapita bado siku kadhaa kwaruzaneni na mparulane ila tz itabaki
 
Ndio Mganga (read MCHAWI) wa CCM, ameingia kwenye CA kama mwakilishi wa waganga wa kienyeji (wachawi). Karne ya 21 bado CCM inaamini katika UCHAWI badala ya SAYANSI!

Ha ha ha ha sasa huyu 'mchawi' si ndo kahamia kambini na anaitwa shujaa kamanda?
 
Ukipitia comments za Wakawa kuhusu kingunge hapo juu ni raha sana! Now wanamwimbia mapambio ya sifa kama kawaida yao!
 
Katika kitu ccm wanaomba kisiondoke Tanzania ni UMASKINI, na Mzee Kingunge ndie fundi ( mtaalam ) anayeifanya Tanzania isisonge mbele kimaendeleo kwa kutumia ufundi wake wa nguvu za giza. Siku Watanzania watakapo elimika basi ccm watakuwa hatiani katika uwepo wa uso wa Tanzania.


Ha ha haha Watanzania sasa wameshtuka WOTE wameamua kumchagua JPJM. Wakawa jihadharini na huyo sangoma!!
 
Huyu ndiye mchawi wa Chama na ameingia kwa sasa si kwa ukongwe wake kisiasa bali kuwakilisha kundi la wanganga wa kienyeji!!! Shame on you CCM!!! KWa hiyo yuko pale kupindisha akili za wachache ambao hawataweza kupambana na yale majini yake ili waunge mkono serikali mbili.Kwani umeshaona amechangia chochote tangu limeanza? Kama alichangia sikusikia wakuu, yuko kimya tu akinukuu mambo ambayo usiku atayafanyia tunguli. Wakati mwingine mnamuona pale amekaa kumbe ni kivuli yeye yuko bizy kuwasha vibatari mchana kupeperusha akili za watu kuhusu katiba ya CCM!!


Inachekesha sana!!! ndo maana mnaambiwa muwe mnaweka akiba ya maneno... vibatari leo vipo ukawa!!!
 
jamani haka kazee mkasamehe ccm wamekaleaaa mwishowe kakaanza kuleta furugu uvccm walipomtolea nje kakachukia hana pa kushika ccm wache kafate hela kwa fisadi
 
Back
Top Bottom