Mabadiliko kutoka kwa Lowasa?tuache mizaa jamani
Mpango wa mabadiliko Chadema umeanza kitambo kumbuka mwanzo wa kauli mbiu na nembo ya M4C....Lowasa kajakuongezea kasi...atasimamia matakwa ya wananchi kupitia muungano wa ukawa
Mabadiliko kutoka kwa Lowasa?tuache mizaa jamani
Jipambanue ww ni wa mrengo upi kati ya hiyo maana sisi wa cuf kitambo tulishaona pale ni usanii na ubabaishaji tukaamua kukacha coalition ya kinafiki isiyo na makubaliano rasmi.
Hahaha....gia ya angani sitoisahau aisee ....hadi mwanasiasa niliyekuwa naapa mbele za watu kwa kumuamini kama Tundu Lissu anakaa meza moja na EL,Masha, Sumaye etc kisa ndio njia pekee ya kuiua CCM? sitosahau huu mzaha wa kihistoria kwenye siasa zetu .....
Yaani hawa walioshindwa hata kutikisa hata mkutano mkuu huko CCM pamoja na kuapa kutachimbika? ...Leo kuchimbike wakiwa upande wa pili ? ....hoja hakuna, zaidi ya mbwembwe za bendera na mafuriko ambayo kama una akili japo za chekechea utajua si kura .....
Utakuwa mchanga sana kisiasa. Otherwise tangu tz ipate uhuru hatujawahickuwa na siasa tam km mwaka huu. Ni jambo jema sana kwacafya ya nchi yetu. Hivi unajua Prof lipumba na CUF walikuwa waungane na ACT km Slaa angepitishwa? Tungekuwa na halivmbaya sana leo! Au huelewi nini kilimfanya lipumba achukue form haraka kwenye chama chake wakati walikuwa na makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja? Think outside the box!Hahaha....gia ya angani sitoisahau aisee ....hadi mwanasiasa niliyekuwa naapa mbele za watu kwa kumuamini kama Tundu Lissu anakaa meza moja na EL,Masha, Sumaye etc kisa ndio njia pekee ya kuiua CCM? sitosahau huu mzaha wa kihistoria kwenye siasa zetu .....
Kwa akili yako huwezi kuelewa hata kidogo, labda muuluza kwanza Magufuli kwanini kaziiga zote mpaka kukataa Mdahalo