NAchofahamu kama D9 ingekua kama O29 basi 80% Saa hizi Kamanda Mkunda ndo angekua Mc wa Taifa....
Ingawa Maandalizi yao ya D9 na nmna ilivyokua D9 sikuona mlingano ila pia ilikua ni kama taarifa, busara ya kijeshi na ulinzi wa raia.
Apo ulitakiwa ufanye kupunguza matumizi....
Tra chezeshe tuwape 100.
Mfanyakazi mpe 200 afu ajitegemee mwenyewe....
Ungeongeza faida 170
Zaidi mwenyenyumba ungemchezesha pia wanaelewaga pia...
Ungeongeza matangazo ya biashara Yako baada ya mda flan ukemake profit mzuri zaidi
Awa jamaa walianza kama vimende vidogo magetoni nkawa nachukulia kawaida baada ya miwasho kuzidi nkaanza uchunguzi binafsi. Hamadi awa apa kuwasha torch naona wanakimbia skuamini ......
Nilipata Mawazo sikulala, kama mwamba nkazama jamii kupata details nkakutana nashuhuda nyingi, moja wapo ni...
Nilinunua pagala kwa ndugu yangu kumsupot baada yakupata uamisho kikazi.... Sikua na haraka ya kupamliazia...
December naenda kucheck, na mpango w a kupamalizia, la haula yule mzee kauza mpaka aliyosema itakua ndio njia....
Imebidi niwasiliane na madalali kwa msaada zaid
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.