Nimekutana na matapeli leo asubuhi

nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...

Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.

Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Kosa ulilofanya kuingia kwenye gari
 
Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Wewe ndio wale wanaopotea halafu watu wanasema, "marehemu alichukuliwa na wasiojulikana"...kumbe ulikuwa unarondea dollar
 
Watu mnapenda kupoteza muda aisee.
yaani ukishajua hili ni tapeli wala usilipe nafasi ya kuongea sentensi inayofata.
Yakipiga simu yakiongea maneno mawili tu nikajua ni tapeli nakata simu.

Huko njiani nikikutana nalo kama hilo wala hata nisingepoteza muda kupanda gari yao, sijui kwenda sheri.

Halafu kijana mbinu za utapeli hubadilika kila leo, usijione mjanja sana eti watu huwajui wanakwambia panda kwenye gari na wewe kindezi tu unapanda, eti ooh usimpe mkono (ushirikina), kwahiyo unaamini hujatapeliwa kisa hujashikwa bega au mkono.

Dawa ya tapeli ni kumkataa mapema kabisa, usijiroge kujiona uko smart hadi unahatarisha maisha yako kipuuzi kabisa.
 
nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...

Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.

Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Mimi wakinitokeaga hivyo nawaambiaga kwanza bwekeni kwa sauti kama mbwa.

Bado wanazubaa zubaa nakushanga nawapigia ile charter yangu.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Mbrrr mbrrrr mbrrrr mbrr nakusepa.

adriz gammaparticles
 
Enzi hizo hakuna mitandao ya kupeana elimu tulilizwa wengi kwa staili moja kwa muda mrefu,

2005 walinikamata na madawa yao nikajikuta nawasindikiza mpaka uchochoroni, nikatapishwa hadi nywele wakasema kuna mtu ananiroga wameamua kunisaidia kutoa uchawi ila kila kitu nilichokuwa nacho mfukoni niweke kwenye rambo, mfunoni niweke tu nywele nilizotapika niende kuzichoma nikifika nyumbani.

Hadi nafika nyumbani nakuta hela ni mabox na simu ni sabuni,

uzi wake huu hapa >> Hivi ndivyo nilivyotapeliwa mwaka 2005 na matapeli wanaokutemesha nywele mdomoni au kukutoa moshi kitovuni, siwezi kuja kusahau !!
 
nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...

Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.

Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Pole sana na hongera kwa kufanikiwa kutoka salama. Ila next time usifanye kosa la kupanda gari la watu uliotilia shaka kuwa ni matapeli.

Kwa wengine kitendo cha kupanda tu gari lao ni tayari unawapa ushindi wa kukuibia kila ulicho nacho kwa 'upigaji wa kubwaga'.

Ova
 
Mpaka wanakubeba mpaka sijui manzese Mara sijui sinza jua tu ilikuwa Bahati yako kama wasingekuwa not only matapeli but also wafiraji means wangekufira maana wangekupulizia hata dawa ya usingizi uokotwe kunduchi beach

SOMO: HAKUNA MJANJA KILA MJANJA ANA MJANJA WAKE USIKUBALI KABISA KUJARIBU SUMU KWA KULAMBA
Mwambie kwamba wanaotapeliwa mjini ni wajanja siku zote, wajinga hawatapeliwi mjini hata siku moja. Hata yeye angekuwa tapeli asingeangaika na wajinga maaana hawa la maana zaidi ya ujinga wao
 
Mjanja anapeliwa vip?

Mjinga ajui maana, mjinga aelewi....
Ukitapeliwa we ni mjinga wa mjanja....

Kutapeliwa ni kuendekeza tamaa za kijinga
 
Hapokwenye kushikana mkono au kukushika Bega nitakuelleza kitu
Wewe shika mkono mwache akushike hafi bega
Hakuna uchawi mkubwa ama lolote
Isipokuwa kinachofanyika ni KUWIN mind yako
wnafanya vipikaa kwa kutulia nikueleze
 
nimekutana na wale matapeli wa pesa wakazania wataniibia kumbe mm mtoto wa mjini yani nimezaliwa moshi mjini nikasoma mpaka advance nkaja Dar Chuo na ni mtu ambaye ni mtundu sana wa mitandao ya kijamii

Scenario ipo hivi,

Nlikuwa nimesimama kituo cha daladala magomen mwembechai ile sehemu wanapaita kanisani maana kuna kanisa nazani ni la wasabato, akaja mzee akaniuliza Posta ferry ni wap nikamwambia panda daladala za posta kabla cjamaliza Akaja mtu wa pili akanza kumwambia huyu mzeee kwa nn usipande mwendo kasi Mara mzee akatoa pochi inadollar kwa juu i guess ni feki pia akaanza kuniambia anataka kuexchange zipo Dollar 3000.

mimi nimesoma stories nyingi mtandaoni najua kabisa Nkiwa naongea na mtu ambaye simjui naavoid anishike mkono au Bega maana wanatumiaga dawa anavyokushika ana kupossess anakuibia sasa Baada ya yule mzeee kutoa hizo dollar akatwambia tumuonyeshe sehemu pakuexchange atatupa laki mbili na hamsini kila mmoja nkasema oyaaa.

Mara yule jamaaa aliyetukuta akasemaje hata Sheli wanaexchange na ukiangalia hivi kuna sheli mbele yetu , mzee akanisisitiza nsimuache ananiamini , lakini kichwani kitu kinaniambia siunajua kuna matapeli eeeee nkasema wacha niwaangalie watafika wapi. basi tukaenda pale sheli...

Heti tumefika jamaaa akajifanya anapiga simu akamuuliza jamaaa wa kwenye simu upo Wap jamaaa akamwambia nipo hapa , tukakutana na huyo mtu wa pili akiwa kwenye Gari huyo ambaye alipigiwa simu , akaniuliza naitwa nani nkamwambia naitwa XXX nina ukoo wakichaga...

Jamaa akatwambia tuingie kwenye gari twende Sinza tukaexchange nkamwambiaje sinza mbona Mbali Kuna bureau exchange hapo Cha manzese akasema tupande gari basi nikapanda nikasema sikai mbele Hivyo kwenye gari tuwaka watu wanne.

Mara jamaa mwenye gari akashuka akaniambia njoo nje tuongeeee Nkatoka nae tukawa kwa nyuma akanifata akaniambiaje hizi hela nimewaambia ukiexchange ni milion 7 na laki tano ila ni milion 7 na laki sita kwa hyo Tutagawana hyo laki moja Siunajua udalali tena Nikamwambia sawa Nikaavoid yeye kunipa Mkono tukarudi kwenye gari safari ikaanza...

Sasa kwenye gari nyuma nimekaaa mimi na mzee , mzee akaanza kuniaidisia kuwa ana mtoto wake wakike aliyepo Oman ndo Kampa hizo pesa , anaongea huku anatetemeka kiukwel nakuniambia kijana wangu ww ndo nakuamini hapa , mm nipo makini muda huo.

Mara tumefika manzese wakawa wote wawili wananisisitiza kwanza nishike hizo hela za mzeee lakini mzee anasemaje hawaamini hawa watu wa mbele hivyo Tumuachie pesa zetu laki mbili mbili hili zifike milion atugaie dollar zake then niingie kwenye bureau exchange mimi na dereva ... Wale wawili wakasema wanazo so ikawa bado mimi

Huku Mzee wananisisitiza wewe kwenye account milion ngap ili mnipe milion mbili halafu niwape hizi dollar maana siwez kutoa tu bila kupewa chakushika... Mimi nikamwambiaje kwenye benki sina hata mia

Kwahyo hela yake ikiingia haitakutana na hela nyingi maana walianza kusema kwamba pesa zikitolewa niwekewe kwenye account yangu ili Mzee asiibiwe...

Mimi ikawa siongei nkawaambiaje pakini hapo Tiptop ili nitoe hela niwape si wakapaki heti wakawa wananiambiaje pokea pesa zile dollar nkawaambia wacha Mzee azishike...

Nkashuka Nkaanza kucheka nkawaambia wajaribu kwa wengine wakasepa Zao nikaenda chuo

Funzo:
Ukikutana na mtu humjui husimpe Mkono, Kama ni usiku usiongee na mtu humjui Wanatumia Dawa kuibiwa watu, especially anavyoongea na wewe huku anakushika shika mabega anakupoteza unaibiwa kila kitu nina Marafiki na ndugu in ameibiwa kwa hivi halafu pia tusiwe na tamaa na pesa za watu au pesa ya kirahisi.
Hahaaa
 
Mpaka wanakubeba mpaka sijui manzese Mara sijui sinza jua tu ilikuwa Bahati yako kama wasingekuwa not only matapeli but also wafiraji means wangekufira maana wangekupulizia hata dawa ya usingizi uokotwe kunduchi beach

SOMO: HAKUNA MJANJA KILA MJANJA ANA MJANJA WAKE USIKUBALI KABISA KUJARIBU SUMU KWA KULAMBA
hahahaaaaa we jamaaaa
 
Mjanja anapeliwa vip?

Mjinga ajui maana, mjinga aelewi....
Ukitapeliwa we ni mjinga wa mjanja....

Kutapeliwa ni kuendekeza tamaa za kijinga
mjinga huwa ni muoga , mjanja hujifanya ujuaji na kujiamin kwingi
 
Back
Top Bottom