Recent content by outlook

  1. outlook

    Cofee VS Potatoes (Kawaha ikilinganishwa na Viazi Mviringo)

    To determine whether coffee or potatoes are more profitable per acre in Tanzania based on a one-year output, assuming the farms receive the best services (optimal inputs, management, and market access), we need to compare their yields, costs, and revenues. Since I don’t have exact 2025 data for...
  2. outlook

    Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi

    Siyo kutishana, hiyo breakdown iliangalia ekari moja. Ninajua pia gharama hupungua kidogo kwa Large scale farming. Ujumbe wang ulilenga uhalisia kwamba ili upate faida inabidi ulime mahindi mengi!
  3. outlook

    Je waijua akili mnemba kwa kimombo Artifical Intelligence

    Hebu nitoe maelezo yenye undani kuhusu akili bandia (Artificial Intelligence - AI), aina zake, na jinsi inavyofanya kazi: 1. Ufafanuzi wa Akili Bandia (AI) Akili bandia ni uwezo wa vifaa vya kidijitali (kama kompyuta au roboti) kufanya kazi zinazohitaji akili ya binadamu. Hizi ni kama vile...
  4. outlook

    Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi

    Faida ya Tsh 600000 kwa ekari igawe kwa muda uliotumia kusubiri pesa yako irudi. Kuanzia mwezi wa kulima (mwezi wa 12 kwa Songwe) mpaka muda ambapo bei ingalau imepanda (Mwezi wa 8) 600000 / 9 = 67,000 TSH (Hii inamaanisha kila mwezi ulikuwa ukiingiza Tsh 67,000 tu ambayo haitoshi kulisha...
  5. outlook

    Happy birthday Dr Rev Eliona Kimaro

    Huyu Mwamba elimu yake ikoje? Amesomea nini haswa?
  6. outlook

    Kuhusu ajira za walimu

    Siyo lazima labda kama unataka kukosa kazi.
  7. outlook

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Samahani wana jamvi. Naulizia ikiwa umekosea au kusahau password na ukashindwa kuingia kwenye mfumo wa maombi wa OTEAS. Ni namna gani unaweza kupata msaada kutoka kwa watu wa IT TAMISEMI?? Natanguliza shukrani.
  8. outlook

    Natafuta nyumba ya kupanga-chumba kimoja na sebule(Kimara-Baruti-Kibo-Korogwe-Bucha)

    Wapendwa wanajamii, ninatafuta nyumba ya kupanga. -Napendelea iwe inapatikana kati ya Kimara na Ubungo (Inaweza kuwa Kimara, Baruti, Bucha, Kona, au Kibo) -Iwe ya chumba kimoja na sebule -Isiwe mbali sana na barabara kuu-Morogoro road, KM 1 ingalau sio mbaya -Iwe na umeme na maji yanayopatikana...
  9. outlook

    Remove sex from a relationship, women have nothing to offer. Is it true?'

    When you bring that shit, think of your mother, your mother is also a woman. Did she also had nothing to offer to your family and you?
  10. outlook

    Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

    Fu*k you! Kati ya watu nawakubali ni Mnyika! Watanzania huwa tunapenda kila kitu serikali itufanyie! Hivi wewe unaweza kushindwa shika chepe na kuzibua mtaro uliokaribu na nyumba yako ili maji yasifike kwako! Unangoja serikali!! NAona tunakoenda tutakuwa tunangoja serikali au Mnyika aje azae...
  11. outlook

    Tahadhari: ISIL wanapanga kuishambulia Tanzania

    *** you! America are not terrorist! Muslim are!! *** you again!!!
  12. outlook

    Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    no!Akiwa maskini atakimbilia kujijenga yeye kwanza na familia yake mi nadhali akiwa tajiri au tajiri wa kati ni vizuri zaidi!maranyingi maskini wakiingia madarakani huwa wanajutia walikotoka na kuanza kufira pesa za serikali!
  13. outlook

    Mpenzi wangu hataki kabisa kusikia habari ya kutahiriwa

    Asanteni sana wakuu ushauri wenu nimeupata ingawa nilikuwa sijatembelea jamii forum kwa muda! Nitajitahidi kuutumia
  14. outlook

    Mpenzi wangu hataki kabisa kusikia habari ya kutahiriwa

    Mimi ni kijana na nina msichana ambaye hakika nataka Mungu akijalia aje awe mke wangu wa ndoa kwa sababu nampenda sana!. Nilikuwa bado sijafanya tohara kwa sababu kwetu si desturi na mpenz wangu aliposikia sijatahiriwa aliruka kwa furaha na anasema ananiomba sana nisitahiriwe kabisa...
Back
Top Bottom