Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

mimi siyo mkristo wala mwisilamu ila ni mtanzania zamu yetu lini? na kundi langu
 
Awe maskni au tajiri, lakini akiwa tajiri kusiwe na shaka yeyote jinsi alivyoupata. yaani awe na utajiri unaoelezeka kwa maana ya utajiri wa kurithi au wa biashara na awe mlipa kodi mzuri
no!Akiwa maskini atakimbilia kujijenga yeye kwanza na familia yake mi nadhali akiwa tajiri au tajiri wa kati ni vizuri zaidi!maranyingi maskini wakiingia madarakani huwa wanajutia walikotoka na kuanza kufira pesa za serikali!
 
Awe tayari kufa kwa ajili ya kutetea siyo tu Taifa na watu wake ila hata katiba ya nchi yake.

.....kweli kabisa Rais anaeogopa kupoteza nafasi yake ya URAIS au anaeogopa KUFA na hivyo kufanya maamuzi yenye manufaa Binafs hataweza kuikomboa hii Nchi kutoka kwenye utamaduni wa Kifisadi. ( mf. Mbeki wa Africa kusini alipoteza nafasi yake ya Urais pale aliposhikilia msimamo sahihi - Ukweli utamwinua kuliko mrithi wake ktk Historia)
 
Kiongozi mwenye maamuzi kwa wakati , anaeamini ktk 'kujiletea maendeleo wenyewe' atakae weka adhabu ya Kifo kwa mafisadi, ambao ndiyo Mfumo unaoondoa utaratibu wa 'utajiri kwa kufanya kazi' na kuleta ' utajiri kwa ujanja janja'
 
.....kweli kabisa Rais anaeogopa kupoteza nafasi yake ya URAIS au anaeogopa KUFA na hivyo kufanya maamuzi yenye manufaa Binafs hataweza kuikomboa hii Nchi kutoka kwenye utamaduni wa Kifisadi. ( mf. Mbeki wa Africa kusini alipoteza nafasi yake ya Urais pale aliposhikilia msimamo sahihi - Ukweli utamwinua kuliko mrithi wake ktk Historia)

Na ndiyo maana ukuniuliza RAIS mzuri atakuwa yule mweye uwoga wa MUNGU,Muwazi,mwenye heshima kwa kila mtu,jasiri wa kusema hapama kwa mabwana wakubwa IMF,World Bank nk,na mkewe lazima awe ameenda shule,hatuhitaji tena darasa la saba awe ndiyo First lady.Kwa kawaida MWANAMKE ndiyo sababu ya kuimaliza au kuinua SIFA ya MUMEWE.Hivyo ELIMU ya first LADY lazima iangaliwe.
 
Tatizo wengine first Lady fake ndiye anayewekwa wazi wakati original anakuwa mchepuko.
 
Tatizo wengine first Lady fake ndiye anayewekwa wazi wakati original anakuwa mchepuko.

Kukiwa na sheria itambana tu,ndiyo maana nimeliweka neno WOGA wa MUNGU,muaminifu,Mkweli,Jasiri, na mwenye heshima.Tukimpata huyu hawezi kutuletea MCHEPUKO,sababu anauwoga wa Mungu,tayari huyu ni mkweli na muaminifu.Umenipata vyema kwenye hoja yangu?
 
amani kwa wote,mwaka huu wa 2015 ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa kuchagua madiwani,wabunge na rais.hivi sisi watanzania ni vigezo gani tutatumia kumpata rais wetu?vifuatavyo ni baadhi ya vigezo
1.awe muadilifu
2.awe mkweli kwa maneno na matendo
3.auchukie ufisadi
4.awe na elimu ya chuo kikuu
5.awe anamapenzi ya dhati kwa taifa lake
6.awe na afya njema
7.awe na ujasiri wa kufanya maamuzi mazito pindi inapohitajika
8.asiwe mdini wala mkabila
9. Awe anayajua matatizo ya nchi yetu kiuchumi,elimu,kisiasa,afya na kijamii na kuyatafutia ufumbuzi.
Nawewe ongezea unayoyaona yatatusaidia kumpata rais bora.nawasilisha.
 
Back
Top Bottom