Recent content by Otto alex sangawe

  1. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania TTCL Dodoma mnaihujumu Serikali na kukwamisha maendeleo ya wananchi

    Hii ni kweli kabisa hata Arusha Kuna hiyo changamoto ya kuwasilisha maombi na kukaa muda mrefu bila ya kufungiwa/kupatiwa huduma
  2. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Kwa takwimu yanga wapo vizur tangu manji aingie pale figisu figisu zimepungua sana, na pia clabu imezid kuimarika, pia uongoz wa manji umetoa uhuru kwa benchi la ufund likiongozwa na kocha kuwa huru, hakuna mtu anaemiliki mchezaji pale, na kama wakiendelea hivyo hakika itafika mbali sana klabu...
  3. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu na kile kinachoitwa Ushindi wa Magufuli

    mpumbavu huyo hajui kituuu
  4. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: ZEC Yaamuru Maalim Seif akamatwe

    akamatwe na afungwe kabisa
  5. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    apelekee uko kama mmeshindwa mmeshindwa tu
  6. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa azungumza na vyombo vya habari, Ailaumu NEC kutoa matokeo yanayompendelea Magufuli

    mnalalamika nini kubalini mkatae habari ndo hiyo
  7. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Kura Yangu Magufuli, wewe Je?

    magufuli anatosha
  8. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Magufuli ashindwa kuhutubia Misungwi

    uyoo aliepost hii habari hana ata uhakika wowote
  9. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Wana CCM mliopo Arusha na Kilimanjaro semeni ukweli mikutano ya Magufuli

    hakunaa cha taabani wala nini magufuli yupo vizuri anachanja mbuga tu...
  10. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    ni jinsi gani watanzania tunavyoendelea kuwa wapumbavu kwa kuzomea mtu
  11. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

    ukawa kushinda uchaguzi ni ngumu
  12. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Hiyo ndo hali halisi Kwa sasa inayoikumba chadema
  13. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Kwa maoni yangu tiar chadema ishapoteza mvuto Kwa wafuasi wake
  14. Otto alex sangawe

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kumuoa ila nime disco chuo

    Poleeee
Back
Top Bottom