mkuu siwezi jua, kwani mm nilishangaa anaondoka, bila kuhutubia, sijui tatizo lilikuwa nn kwani walisema anawahi sijui wapi hukoo
Umechanganya!Leo Star tv walikuwa live! Labda "magufuli" wa Jana Tunduma sauti iligoma Mbowe akasingizia Vipaza sauti
mkuu siwezi jua, kwani mm nilishangaa anaondoka, bila kuhutubia, sijui tatizo lilikuwa nn kwani walisema anawahi sijui wapi hukoo
acha uongo mbona wanasema hata startv ilikata matangazoo?? uliza kwa waliokuwa karibu na Tv
Nani anaesema na tumeona wenyewe? Kumbe wewe umehadithiwa?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 300265
Pichani akiwa amesimamishwa Igoma.
View attachment 300268
Sehemu ya wananchi wa Misungwi waliojitokeza leo kumsikiliza Dkt
Leo mgombea wa ccm Dr Magufuli hakuhutubia jukwaan katika jimbo la misungwi zaidi ya kelele za wasanii.
Magufuli alifika na kupanda jukwaani lakini alipokuwa anatumbuiza fid Q tulishangaa kasimama na kuondoka bila hata kusalimia.
Jambo hili lilisababisha watu wazomee, na hata alipokuwa anaimba fid Q alizomewa pia na kundi la watu nyuma.
Sababu nilisikia kwa mbali kwani nilikuwa nyuma kwamba sijui anawahi kwenda wapi hukoo
kama alihutubia basi ni video ya jimbo jingine lakini sio hili la misungwi

Angalia vizuri
Leo mgombea wa ccm Dr Magufuli hakuhutubia jukwaan katika jimbo la misungwi zaidi ya kelele za wasanii.
Magufuli alifika na kupanda jukwaani lakini alipokuwa anatumbuiza fid Q tulishangaa kasimama na kuondoka bila hata kusalimia.
Jambo hili lilisababisha watu wazomee, na hata alipokuwa anaimba fid Q alizomewa pia na kundi la watu nyuma.
Sababu nilisikia kwa mbali kwani nilikuwa nyuma kwamba sijui anawahi kwenda wapi hukoo
mkutano wa misungwi sio kwamba ndo umekuwa wa mwisho kwa leo?,,,,,,,,
yaani hujui kusema uongo asee
Mtoa mada ni lofa na mpumbafu.
Iliyokata matangazo ni ITV...acha uongo mbona wanasema hata startv ilikata matangazoo?? uliza kwa waliokuwa karibu na Tv