Hili nalo ni neno, wakati wakihitimisha mkutano wao na waandishi wa habari, aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Dr. Kitila Mkumbo alisema......"kule iramba ninakotoka, kuna mwananchi mmoja anaitwa Mwigulu Nchemba, amekuwa kila siku ananiponda katika kila jambo, nashanga eti sasa hivi...