Recent content by othuman kibaha

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa ujauzito mchumba wa binamu yangu

    Ila umezini kwa imani ipi?ovyoo
  2. O

    JamiiForums Tanzania Hivi katika Miji ya wenzetu kwenye makazi ya watu nyumba za ibada imefunga loudspeaker kwa nje?

    Kweli kuna watu wamelaanika,hivi ibada ni kelele?kaingie kaburini labda hutasikia hizo unazoziita kelele,,naamini iko siku utazihitaji sana,kumbuka hata waliokuzaa walizikuta au tv yako ni muhimu saaaaaana kuliko kuabudu,USIJIDANGANYE NA PUMZI...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kigogo CCM aguswa kashfa ya makontena

    Kinanani llabda mtaje!!!!!
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bunge, Mary Mwanjelwa akataa Hoja ya Mwakyembe

    Wanajipendekeza kwa mh rais mpaka wanasahau wajibu wao mbele ya wenye nchi ambao ni watanzania
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kuna nini mbunge wa upinzani kutaka uenyekiti wa PAC

    Sheria ya bunge ndio inayotaka mwenyekiti wa Pac na Laat awe anatoka opposition...thats all
  6. O

    JamiiForums Tanzania Strippers wa BR Masasi ni Balaa.......

    Ni strippers mkuu!!! Lugha jamani
  7. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Hii issue ni kweli ila dah mimi kwa maghembe naona tutarudi kulekule
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu (CC) ya CCM yampongeza Rais Magufuli, yamtega...

    Kuna dalili kwamba alikua anaenda chimbo zao,so better stop on the begining
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kutoka Unguja: Simba S.C 5-2 Kimbunga F.C

    Njooni na mapower bank yenu mtawakuta azam na container yaliyokamatwa ndio mtajua mpira sio vuvuzela...ati kimbunga!!!!!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Hongereni kwa kusomamia katiba
  11. O

    JamiiForums Tanzania CV ya Profesa Jay (Joseph Haule)

    Proffesor j alikua mwajiriwa wa tigo kituo cha tanga,ni mtu msomi,kama hamumfahamu ulizeni
Back
Top Bottom