Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Kama mnavyojua kanuni za club nasikitika sitawaletea picha lakini kwa kweli nimeenda Maisha Club karibu zote hususan kona za Strippers ila kwa Strippers wa BR Club Masasi nimewavulia kofia
tofauti na Strippers wengine hawa HUVUA NGUO ZOOOOOOOTE na kubaki kama walivyozaliwa huku wakicheza kwa kujiachia na kusogea karibu na watazamaji na kuchezea papuchi utakavyo
Nilipata bahati ya kuongea na mmoja wa Strippers kati ya wadada hao wawili (nimegundua snipers wengi ni kenyas) akaniambia kwamba kinachompa ujasiri ni kutumia pombe kali miraa na cha Arusha na kwamba ninapomuona kwenye ile fimbo yeye hujihesabu kama mnyama tu kwa sababu anajiona hana thamani kabisa kwani kwa binadamu wa utashi na haiba si kawaida kucheza uchi na kujivinjari ukumbini mbele za watu zaidi ya 100 ukiwa uchi wa mnyama na tu na yote ni sababu ya kutafuta maisha (kauli iliyonitia simanzi sana_)
ukiwa Masasi tembelea BR nyakati za usiku mkubwa ujionee STRIPPERS .....nimefika Mtwara nikaambiwa wamepigwa marufuku hapo Maisha Club

Last edited: