Mm naona ingekua bora kama kuna mtu amekashfiwa kwenye huu wimbo ajitokezee yy aseme ila sio kujipendekeza kwa kumkamata ney wakat hakuna alielalamika kua amekashfiwa..wabongo njaa zitatuua kwa kujipendekeza mm sioni kosa lake ney hapo.
NACTE nyie wanafiki sana. Mbona kuna idara hamjazigusa mfano jeshin na police. Ila mmedeal na walimu madaktar manesi na wengine tuu. Mbaya zaid kunamtu katajwa zaid ya wiki mbili na nyie mpo kimya au na nyie mnatumika?
Hivi kumbe sura mtu ilivo inaendana na roho yake ilivo??? Kuna jamaa alikua handsome sana na pia alikua mcheshi sana mpaka watu wakamwita babu cheka.sasa sijui ukiwa na sura mbaya kama yangu na roho inakuaje... jaman mm napita tuu
Hivi sasa hivi hata haki ya kuongea haipo? Maana kila msema kweli anakamatwa kweli watz tunamambo ya kujipendekeza. Sasa BASATA wameufungia huo wimbo kwa lipi? Au jk hastaili kuombwa msamaha?
Mm nashangaa sana kwa mkulu kusema mtu akikutwa na kitu haramu awekwe ndan hata kama mtetez wake nae awekwe hivi kwa stail hii ya kubambikiwa kesi siwataenda wasio na hatia?
Nikitafsir kauli ya zito ndo naamin. Zito kaona mbali jaman kasema huu ni mtego wa panya hii inshu imekaa kukandamiza upande flan flan tuu na lengo ni kudhoofisha upande mmoja.lengo lao ndo hilo hakuna jingine
Mm naona kuna kitu kikubwa kinakuja mbelen. Ipo kisiasa zaid wenye macho tushaona mbali. Team edo opposition angalien huu mtego kwenu. Ila mungu yupo siku zote yy ndo atatenda haki.
Big up manji ww unajua haki yako huo ni udhalilishaji wanachafua jina lako maana huez kumtuhumu mtu bila kumchunguza. Ukikuta hana hatia siutakua umemchafulia jina lake na biashara zake pia.
Hapo umenena wakiona wafanyakaz wanalalamikia madai yao wanaazisha uhakiki wa vyeti na watumishi hewa zoez ambalo haliishi. Juz kat pia wameazisha zoez la uhakiki wa vyet vya ndoa kwa wafanyakaz sjui logic ni ipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.