Serikali ya visasi mpaka lini?

Serikali ya visasi mpaka lini?

HAYA NDIYO MANENO AMBAYO WANASISIEM WANAJIFARIJI MAMBO YAKIENDA KOMBO AU WAKIAMBIWA UKWELI.
Kama siyo serikali ya visasi mngekuwa meshamaliza uhakiki hewa muda mrefu ila kwa vile mnafurahi watu wanapoumia. Meanzisha uhakiki usioisha ili kuwakomoa watu.
Hapo umenena wakiona wafanyakaz wanalalamikia madai yao wanaazisha uhakiki wa vyeti na watumishi hewa zoez ambalo haliishi. Juz kat pia wameazisha zoez la uhakiki wa vyet vya ndoa kwa wafanyakaz sjui logic ni ipi.
 
Wenzako wote wameelewa nimemaanisha nini ndo maana wanachangia kwa weledi, isipokuwa wewe, hujioni una kasoro!
Wanachangia hvo kwa kua wote mnafanan akili fupi....mwanaume huwez lialia kama demu...kazi zipo nying tatizo mnataka kazi za sifa...mtakoma
 
huwa nashindwa kuelewa watu wanaomsifia ngosha wanatoka sayari gani maana katika hali ya kawaida kumsifia huyu mzee inabidi uwe na hitilafu kwenye mfumo mzima wa fahamu (kichaa)
Na kumuona huyu mzee hafai ni kazi ndogo tu...acha kujishughurisha na uishi kwa dada yko usubir ule bure..hapo lazima uwe na akili ya kumponda huyu mzee...lakin real guys wanapiga kazi...hata hawaoni shida toka kwa huyu mzee.
 
Kwa maneno haya unatoa tafsri ya kwamba, hiyo miaka mitatu chuoni aliyotumia kutafuta degree imepotea bure tu!! Kazi unayomuitia haina hata chembe ya uhusiano na taaluma yake.

Poor government#poor people#
Ulisha wahi kuona mwalim mpuuzi dunian...wallimu wenye sifa ya ualim....ni waelewa lakin watafta kazi hawanaga plan B...so huyu na ni mpuuzi tu kwann uache kazi na bado huna uhakika wa kazi.
 
Kila mtu na plan yake. Usifikiri kupata kaz ni rahis rahis. Yaan ukienda hata vodacom unaajiriwa siku hiyo hiyo.
Tatizo ww hauna kazi, na inawezekana uliishia darasa 2 ukakimbia shule na sasa hiv unabeba magunia stendi. Sasa unaposikia Malaika kazuia ajira unashangilia ili mteseke wengi.
Endelea kumuombea mwenzako mabaya na kushangilia km nyota yako ya punda usitegemee neema au kusimamishwa ajira ukafikiri utakuwa waziri. Ww endelea kubeba mizigo tu.
Au unafikiri ulivyochangia hiv malaika atakupa uwaziri nn? Imekula kwako. KWAN ALIPO UNAMLISHA? NA UNAFIKIRI AMEKAA KAMA WW?
We unadhan mbeba mizigo pesa anayopata inawezalingana na ya mwl...mwl nae ni mtu wa kumfananisha na mbeba mizigo..
 
Ukiona Rais ambaye ni mtumishi namba moja wa wananchi anaweka malengo ili wananchi wake waishi kama Mashetani huyo ni wa kupingwa na kila mtu.

Ukiona Rais anayesema msinidrive, msinijaribu kisa tu hataki kukosolewa, jua taifa lina changamoto.

Ukiona Rais asiyependa uhuru wa habari, huyo yupo mita moja kabla ya udikteta.

Ukiona Rais anakataza shughuli halali za kisiasa na kuwafunga wapinzani bila sababu maalumu, huyo ni wa kumpinga.

Ukiona Rais anayepanga na kupangua kila siku, jua uwezo wa kuona kizuri na kukiteua ni the first place ni mdogo.

Ukiona mamilioni wanasema fulani ni dikteta, jua siyo wote wamekurupuka.
Mbona unatokwa povu hivyo dada, vumilia, kama ni muziki ndo tu beti linaanza
 
Kila mtu na plan yake. Usifikiri kupata kaz ni rahis rahis. Yaan ukienda hata vodacom unaajiriwa siku hiyo hiyo.
Tatizo ww hauna kazi, na inawezekana uliishia darasa 2 ukakimbia shule na sasa hiv unabeba magunia stendi. Sasa unaposikia Malaika kazuia ajira unashangilia ili mteseke wengi.
Endelea kumuombea mwenzako mabaya na kushangilia km nyota yako ya punda usitegemee neema au kusimamishwa ajira ukafikiri utakuwa waziri. Ww endelea kubeba mizigo tu.
Au unafikiri ulivyochangia hiv malaika atakupa uwaziri nn? Imekula kwako. KWAN ALIPO UNAMLISHA? NA UNAFIKIRI AMEKAA KAMA WW?
Kazi kazi...mwenye akili timamu habagui kazi ilimrad inalipa....ova
 
Mininacho shukuru in hii kamatakamata watuchukue wrote jail ili tukale ugali wabule kwasababu tukiendelea kuwa nje tutazidi kuwa wachochezi na sio wenye njaa
 
Pole sana dadaangu
Mkuu hata mimi mwenye shahada mhitimu ni fisadi, nilini nilikuw na mtaji hata wa 1m nijiajiri? Haya hata ajira za walimu wa masomo ya sayansi zimewashinda na hapo ndio lilikuw tegemeo langu. Kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi yeyote kisa hii serikali ya waongo
 
b69386fa3358c28b6324e87117799392.jpg
Huu ni wakati wa kula.
NA HII NI KWELI KABISA!
😎😎😎 😱😱 😀😀😀😀😀😀 😀😀😀😀😀😀😀😀!
 
Back
Top Bottom