Recent content by othorong'ong'o

  1. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    umejuaje hayo yote kama nawe pia si mchawi?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anayejua soko la asali

    We dogo inaonekana ni mjanjamjanja tu, hiyo email network inapatikana ila simu network hamna?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako mdahalo wa wagombea Urais utakaofanyika Oktoba 18, 2015

    swali kwa wagombea wote: kama utafanikiwa kuchaguliwa, je utakua tayari kurudisha serikalini viwanja vya mpira e.g ccm kirumba pamoja na vitega uchumi vingine vilivyojengwa kwa kodi za wananchi (kipindi cha chama kimoja) vinavyomilikiwa na ccm?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Must see Movies

    ...go to the village of Ituango, park in front of a Church, there will come your campacino...TAFUTA HII MOVIE UTAENJOY
  5. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha

    geography, history na pia kiingereza! chuo gani ulisoma masono matatu kwa bachelor degree? uwongo utakunyima kazi.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    kumbe tatizo urais, eti nimepelekwa hadi nje ya nchi kuandaliwa kuwa rais unsfikiri kama binadamu mwenye moyo wa nyama ungejisikiaje?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mama N'tilie, nahitaji mkopo wa biashara

    jiunge na saccos utakopesheka vinginevyo utahangaika sana
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii CCM lazima waondoke madarakani

    Mwaka juzi niliikatia gari (premio) bima elfu 45, mwaka jana niliikatia gari hiyohiyo bima laki moja, leo hii naambiwa bima laki moja elfu kumi na nane. Kwanini nisiipigie upinzani kura?
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nikuhudumie nini tafadhari

    Fisadi mtoto
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mafuriko!!

    hahahaha
  11. O

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Huyu Dr Slaa si tiliambiwa kwamba 2010 hakuea na mpango wa kugombea urais ila ALIOMBWA tu, iweje leo mwingine ameombwa halafu anakasirka?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua soko la Rupia ya Mjerumani na bei yake!

    Rupia , mayai ya Bundi etc. yanauzwa kiulagai sana, mtafute mtu muwe wawili, mmoja anatangaza soko ya rupia kwamba uko tayari kununua kwa milioni hata kumi then unaacha contact zako wakati wakiendelea kutafuta rupia inayohita(kwa specifications ulizotoa) then yule mwingine anjitokeza kwamba...
  13. O

    JamiiForums Tanzania mtungi wa gesi unahitajika Dodoma

    nihitaji mtu wa KUBADILISHANA nae mtungi wa gesi nampa mtungi mdogo ORYX ananipa mtungi mkubwa namuongezea na pesa. ni pm kama uko tayari
  14. O

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtega Kware

    wape pombe wanywe badala ya maji, wakilewa utawapata wote. Ndugu LEGE hawa sio kware, kwa kiswahili sijui wanaitwaje ila kiluo tunwaita ALURU
  15. O

    JamiiForums Tanzania Hili ni kosa kubwa la kimkakati la UKAWA: Kuweka mgombea mmoja kwenye ubunge, udiwani na urais

    nafikiri vyama vyote viweke wagombea mpaka pale mapingamizi yatakapokua yametolewa maamuzi then wengine wanajitoa anabaki mteule mmoja wa UKAWA. hili litaepusha yaliyjotokea serikali za mitaa ambapo sehemu nyingi CCM ilishinda kwa mapingamizi
Back
Top Bottom