othorong'ong'o
Senior Member
- Jan 20, 2011
- 103
- 19
Mwaka juzi niliikatia gari (premio) bima elfu 45, mwaka jana niliikatia gari hiyohiyo bima laki moja, leo hii naambiwa bima laki moja elfu kumi na nane. Kwanini nisiipigie upinzani kura?
Usipigie kura upinzani please MUUZA NYUMBA ZA WALIPA KODI ataishusha wala usiwe na wasiwasi.Mwaka juzi niliikatia gari (premio) bima elfu 45, mwaka jana niliikatia gari hiyohiyo bima laki moja, leo hii naambiwa bima laki moja elfu kumi na nane. Kwanini nisiipigie upinzani kura?
Kwahio upinzani gani Lowassa si mpinzani