Tujadiliane:
1. Je, ‘sheria’ hii ya "Miaka 3" inaweza kutekelezwa bila kuathiri ustawi wa familia (ndoa) na afya ya akili ya watumishi?
Jibu: Nini kutekelezwa hata kupitishwa kama muswada rasmi wa sheria haiwezi kutokea kwasababu ya maslahi mapana ya wahusika. Huwezi kulazimisha kundi kubwa la...
Kumbuka kwamba HATURUHUSIWI.
Tutapoanza kuonyesha dalili yoyote ya kufanikiwa kufikia hatua ya kujitegemea kwa mambo mengi na kupunguza umaskini. Tunakumbushwq makubaliano ya masharti ya baadhi ya mikopo hivyo tunarudi tulipokuwepo.
Usinijibu hili swali: Kwanini familia zenye utajiri mkubwa...
Policies.
Mataifa yenye nguvu na yaliyoingia ubia wa "Resources Sharing over Loans" kwa hizo nchi na nyingi Africa hata ya kwetu ikiwemo ni kuhakikisha umaskini hauishi ila unapunguzwq kwa speed ndogo sana ili serikali ziweze kutengeneza thamani ya uhitaji.
Tatizo ni Makuzi.
Katikati ukuaji wao wengi wameaminishwa kuwa hawana jukumu au deni katika kumhudumia na kumsaidia mwanaume.
Kuna haja ya kubadili huu mtizamo kuanzia ngazi ya familia.
Yeyote aliye masikini wa hali na mali, ana muda mwingi wa kufanya mengi na fursa huru ya uchaguzi usio na kikomo.
Kwa maneno machache nawiwa kusema; Ni ukweli usiopingika kuwa kuna faida nyingi zisizofikiriwa kwa kuzingatiwa na zenye manufaa kuliko ukilinganisha na tajiri.
Vodacom wana huduma ya unlimited kupitia hichi kifaa “NOKIA CPE” Tsh. 950,000/- aisee.
Nimeshuhudia simu inasoma speed ya 800Mbps na hapo tumeunganisha watu zaidi ya 10.
Jitahidi ujaribu hii.
Maelezo mengine ya ziada waone wahusika ila huu ni Umeme mwingine tena ni hatari sana.
Venom and Bacteria: For a long time, it was believed that the Komodo dragon's bite was fatal due to a mouth filled with toxic bacteria. However, recent research has revealed that they have venom glands in their lower jaw. This venom contains compounds that prevent blood from clotting and cause a...
Pole sana na unachoweza kuendelea kufanya ni hicho ulichoamua kufanya.
Ni muda wa kitambo kidogo umepitia na umeshavumilia na sasa ni wakati sahihi wa kuboresha maamuzi ya kuishi maisha yanayoendelea katika hali hiyo ya kigonjwa gonjwa japo yatakua ni maisha mazuri na yenye ubora wa hali ya...
Umeongea point kubwa sana japo naamini kuna baadhi ya wengine wenye Akili mgando na mitizamo tofauti hasa kuna wale ninaowachukia sana wenye dhana ya “wewe zaa watoto analea Mungu.” Ndiyo hawatakuelewa kabisa.
Ni aibu kubwa sana ya kitaifa kwasababu UDOM haitoi huduma kwa wazawa tu. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.