Recent content by Osho

  1. O

    Tanzania kuadhimisha miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere

    Mzee Mohamed . .naomba kufahamu kwa nia njema tu. Kipi kilichokufanya uwe unatembea sehemu zote hizo ulimwenguni na katika sekta ya elimu hasa ? Nitafurahi ukinijuza juu ya hilo. Maana nilitoka kibaha hadi Kariakoo kwenye duka la vitabu kwenda kununua kitabu chako cha Maisha na Nyakati ya...
  2. O

    Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

    Mfumo wa vyama vingi
  3. O

    Lazima ujifunze haya

    Sawa Mkuu
  4. O

    Lazima ujifunze haya

    Taikoni kama hutojali naomba kupata vitabu vyako hasa vya nadharia Mkuu.
  5. O

    Bei ya Hennessy 1 sawa na msingi wa biashara ya mtu

    Taikoni wa Fasihi anasema Maisha ni mepesi sana ila yanakuwa Magumu watu kwa kutaka kulazimisha usawa.
  6. O

    Panya Magawa mahiri kwa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini amekufa nchini Cambodia

    Panya wetu Aje azikiwe kwenye ardhi ya nyumbani kwao .
  7. O

    Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

    Vyote ninavyo nasubiri maelekezo yako tu . Nitaleta mrejesho hapa
  8. O

    Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

    Mtaalamu jinsi ya kumrudisha mpenzi aliyekukimbia je ? Kuna mtu nataka nimrudishe tucheze tena mchezo wetu wa kibaba baba na kimama mama. Siriasi
  9. O

    IPhone13 na dada zetu

    Unajua wengi wanakuwa na simu za aina hiyo kwa Ajili ya Show off tu na wala hawana matumizi nayo makubwa ya kuendana na simu hizo kabisa . Utasikia kamera yake ni nzuri sana sasa kazi ya Canon dukani ni ipi sasa ?🤣🤣 Mjinga ana sifa ya kuwaaminisha watu kuwa siyo mjinga ndio maana wakiwa nazo...
  10. O

    Nina umri wa miaka 30. Sitaoa ndani ya miaka 20 ijayo

    Kwa mabinti wa kimaskini ndoa ni sehemu yao ya unyonyaji wa fedha na kutafuta unafuu wa maisha
  11. O

    Hii tabia imezuka kwa couples wengi miaka hii

    Ukweli ni kwamba. Kinyeo hakitishi kabisa na ni sehemu ambayo inalambwa vizuri tu jamani Sex ni sanaa jamani ila muhimu aoge vizuri kabla ya gemu mengine yanaendelea ni sehemu rahisi kuliko hata kwenye K. Nimemaliza
  12. O

    Waziri Ndumbaro: Royal Tour ya Rais Samia yaanza kuzaa matunda kwa kuleta wawekezaji

    Ndugu zangu . Royal Tour ni kipindi cha huko majuu na kina utaratibu wa kufanya tour katika mataifa mbalimbali mwaka 2018 walifanya Rwanda kwa Kagame . Hapa kwetu tumefanya makala ambayo itarushwa katika kipindi cha Royal Tour Mwanzoni mwa Mwaka 2022 hivyo bado kipindi hakijarushwa mahali...
  13. O

    Vijana njooni Ughaibuni mtafute mitaji bongo ngumu

    Rahisi sana ingia date site jifanye mfukua tope basi vibabu kibao vya kiume vitakuja pretend nacho Kisha anakitumia nauli unaenda .
  14. O

    Biashara ya kujiuza, Dada poa, Kaka poa na Ma-sugar Mamy: Nini kifanyike kupambana nayo?

    Nimeishauri serikali ihakikishe wanasajiliwa na wapate leseni na waanze kulipa kodi katika kuchangia uchumi wa nchi yetu , maana wanapata fedha nyingi sana bila kulipa kodi . Nimesema niko tayari kuisaidia serikali juu ya hilo Taifa la uholanzi wameihalalisha hiyo biashara sasa wanapata kodi na...
Back
Top Bottom