Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Aisee jini mshana tena
Hivi huwa ni wazuri ety ebu tuambie
Na jini mapesa ni lini mkuu
 
Haya mambo haya,kuna mtu alinishauri ili kuwaona wachawi nichukue majani ya mbaazi na kipande cha mti wake nivifunge pamoja na kipande cha mkaa halaf niweke chini ya mto.......sitorudia tena ule ujinga,wachawi sio wazungu mzee,wanatisha sana!!
For research purpose itabidi nijaribu
 
Live kabisa mzee,ila kujua nani ni nani ni ngumu,kwanza huwez kuwatazama mara mbili kwa jins wanavyotisha,halaf wanakua wamejipaka marangi meusi usoni......niliishia kupiga makelele nyumba nzima waliamka,Asee tusali sana wachawi are real!!
Hallucinations
 
Mtaalamu jinsi ya kumrudisha mpenzi aliyekukimbia je ?

Kuna mtu nataka nimrudishe tucheze tena mchezo wetu wa kibaba baba na kimama mama.

Siriasi
 
Mtaalamu jinsi ya kumrudisha mpenzi aliyekukimbia je ?

Kuna mtu nataka nimrudishe tucheze tena mchezo wetu wa kibaba baba na kimama mama.

Siriasi

Kama una kitu chake chochote alichoacha ndanibya siku 7 anarudi
 
Mtaalamu jinsi ya kumrudisha mpenzi aliyekukimbia je ?

Kuna mtu nataka nimrudishe tucheze tena mchezo wetu wa kibaba baba na kimama mama.

Siriasi

Kama una jina au picha inawezekana ila inachukua muda mrefu ndani ya siku 40
 
Hivi ukiota unafanya mapenzi na mwanamke unayempenda Ila hauko nae kimahusiano.,,inamaanisha Nini? Majibu tafadhali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom