Hizbu Sharifu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 449
- 882
- Thread starter
- #241
Mkuu unaizungumziaje bange katika ushirikina ni kweli inaweza kukulinda dhidi ya nguvu za giza. Naomba jibu pls
Kila mti ni sawa katika uchawi
Mkuu unaizungumziaje bange katika ushirikina ni kweli inaweza kukulinda dhidi ya nguvu za giza. Naomba jibu pls
Mkuu embu tufundishe mbinu nyingine kama hiyo ambayo tunaweza kuifanya kwenye mazingira yetu ya kawaida. Kuhusu jambo lolote lile.
Vyote ninavyo nasubiri maelekezo yako tu .Kama una jina au picha inawezekana ila inachukua muda mrefu ndani ya siku 40
Je ina kinga au haikingiKila mti ni sawa katika uchawi
Nakuja pm mkuu, kuna swali ningependa kukuuliza private.Nataka niwafundishe jinsi ya kuwasikiana na kivuli chenu, kila mtu ana kivuli ya jini anaishi nae na kutembea nae
Pia tunasubiri hili somo.Nataka niwafundishe jinsi ya kuwasikiana na kivuli chenu, kila mtu ana kivuli ya jini anaishi nae na kutembea nae
Kama we ni mchawi nitajie password zanguNakubaliana na wewe ila mimi natumia uchawi kuzuia wanaodhuriwa na uchawi na natumia uchawi kuwarahisishia waliokua na magumu bila ya kumuasi mungu uchawi ni zawadi ndugu ha ha ha
Mkuu, Hizbu Sharifu, nina changamoto ya social phobia, miaka yote nimekua wa kukaa peke yangu. Faraja ninayoiona ni rafiki wa kijini wa kike wa kupiga naye STORI TU. Awe jini mzuri asiye na masharti.
Nielekeze jinsi ya kumuita au muite kwa niaba yangu.
Je ina kinga au haikingi
Bado,Oya huyo jini ushampata?
Hana mdogo wake nami uniungie?
HAYAJA KUKUTA MkuuHakuna uchawi, kila anayeona karogwa yeye ndio mchawi
Mkuu NIMEKUTUMIA mrejesho wangu pmHabari wanajamii,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa darasa huru jinsi ya kujiangalia mwenyewe kama umerogwa.
1. Chukua mkaa usagesage uwe kama unga changanya na ubani wowote uusage vizuri kisha ufunge kwenye karatasi na uuweke kwenye mto wako unaolalia.
2. Usiku wa kuamkia alkhamis weka dawa yako na uulalie utakutana na ndoto zako zote zinazohusiano na uchawi kama aliekuroga umerogwaje wapi vitajionesha.
Asanteni sana
Mamb yalitikiiii !!M
Mkuu NIMEKUTUMIA mrejesho wangu pm
Hakuna jini mzuri. They are all evil and demonic.Hivi hao majini mazuri how do they look like?
Huyu jamaa ana dalili zote za ushirikinaMtoa mada usidanganye watu...
Kwanza hata Mtume Muhammad (kwa waislamu) aliwaasa sana watu wasipende kumjua adui wa dizaini hizo bali wajilinde na uadui huo (jikinge kwa mujibu wa Qur'an na wala si vinginevyo)
Pili uchawi ni ushirikina (shirk) na uliletwa na kufundishwa na malaika wawili (harut na marut) waliokuja kibinadamu enzi za Mfalme Suleiman, (najua hapa kutazuka hoja nyingine kuwa iweje malaika walete uchawi ila sipo hapa kwa darasa hilo) bali itoshe tu kusema watu walijipeleka wao wenyewe kujifunza uchawi na hao jamaa hawakumfuza mtu pasi na kumuonya na kumuasa kwanza ila kama ujuavyo binadamu... "...wewe nifundishe tu bwana, habari ya madhara sijui nini niachie mwenyewe..."
Tatu kwenye uislamu kinga ya mtu dhidi ya uchawi na maswala mengine kama hayo ya kiroho haiwezi kuwa kitu chenye kubebwa mfano hirizi msahafu nk. Mtu anakula maharage ili apate protini na wala hapati protini kwa kumshikilia samaki mkononi au punje za maharage kadhalika na Qur'an mtu analazimika kuisoma kama kinga wala si vinginevyo, kama dawa basi atachanganya anavyozichanganya kisha atakula basi. Maana yake ni kwamba kama mtu atashikilia msahafu tu ili uwe kinga kwajili fulani mfano wakati wa kulala au kutembea njia za hatari au gizani usiku basi itakuwa kazi bure
Mwisho habari ya kutafsiri ndoto na mambo kama hayo unaingilia elimu ya ghaib ambayo anayo Mola pekee. Elimu hii aliwafafanulia kwa kiduchu tu mitume wake tena kwa nyakati na matukio maalumu. Mkitaka kutangaza biashara zenu msizunguke zunguke kwa kudanganya au hata kusingizia mambo na kuongea uongo
Nimeassume (nimejireassure) wewe ni muislamu kutokana na majina yako na vitu ulivyotaja hivyo kama wewe siyo mwislamu utanisamehe)
Hakuna jini mzuri. They are all evil and demonic.
Watakudanganya kwamba wao ni wazuri lakini ni waovu mno na watakumaliza.
Huwa wana mikakati ya muda mrefu.