jamani msaada kampuni gani lakubet ambalo lina turbo cash out ukiachana na meridian maana app yao inazingua san
na ukija pmbet wenyewe wana cash aut hadi ubet laki
Habari wana jamii natafuta patna ambae yupo sirious tufanyenae kilimo cha matikiti kwa msimu huu wa masika project ianze mwezi wa 12 /1/2019 itaisha mwezi wanne. Tutalima hekari 6 patna awe na vigezo vifuatavyo
1. Awe tayari kuishi karibu na shamba kwa siku 75 ambazo kufikia hapo tutakuwa...
Tikiti zipo ainabili msihangaike na makampuni kuna tikiti jeusi LA mviringo kabisa kama mpira hilo tikiti panda wakati wa kiangazi halitaki mvua wala ukipanda wakati wa mvua lazima ulie aina yapili tikiti lenye umbire LA yai hulo panda wakati wa mvua utafurahi Ila nalo ukipanda kiangazi...
Maelezo nimarefu sana in shot
Kwahuku Mbeya
Kukodi shamba 80,000
Kulima 50,000
Kupanda 50,000
Mbegu 70,000 kwa
Palizi mbili 100.000
Msimamizi 250.000
Mbolea 180,000
Madawa jumla uwe na 250,000
Hizo ndo gharama nilizo tumia Mimi
Kwa wastan wachini kabisa ukivuna utapata m 1.6
Wastani wajuu ni m4...
Hio mbegu INA toa mazao mengi sana huku kwetu unaweza kutoa hadi gunia 40 kwa hekari sasa tatizo bei yak ni ndogo kuliko mpunga wowote ule sababu INA Michele mbaya sana
Karibu kaka huku ukiwa na akili na nguv utafanikiwa tu, kibiashara kwa kilimo na mambo menguna mkoa wetu una fursa nyingi zq kijana kuji kwamua kiuchumi karibu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.