mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Wakuu habari zenu,
Wakuu nimeamua kwenda kutafuta maisha Mbeya. Sina ninayemfahamu katika mkoa huo lakini nina imani maisha ya kule yatakuwa sio magumu kama ya Dar.
Nimejiandaa ki akili naamini nitafanikiwa katika safari yangu ya kuanzisha maisha mapya.
WanaJF mnaoishi huko naombeni ushauri wenu.