Recent content by OrionX

  1. O

    FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

    Aisee ligi ianze bwana, Kuna jirani zangu hapa washaanza kunenepa.
  2. O

    Maumivu ya Usaliti: Safari yangu ya kutafuta amani baada ya miaka 12 ya ndoa

    Katika maisha haya, hakikisha unakuwa na "deal breakers" yaani mipaka fulani ambayo ikivukwa hakuna kurudi nyuma. Utajiepusha na mengi na akili yako itakuwa na uwezo wa kubadilika kiroho safi kuendana na mabadiliko. Machungu ya kihisia mara nyingi husababishwa na saikolojia.
  3. O

    Matatizo ya Mkongo wa Taifa ni funzo kubwa la kiusalama!

    Ni muhimu kama nchi kuwekeza kwenye miundombinu ya ndani ya nchi inayoweza kusaidia kusambaza intaneti kwa matumizi ya ndani bila kutegemea kabisa waya wa baharini. Pia, kuhakikisha njia mbadala za mawasiliano zinapatikana kwa ajili ya dharura
  4. O

    Musukuma: Serikali iache kufanya Biashara haiwezi, Mwendokasi Walikuwa na Mabasi 300 yamebaki 4 tu. Biashara mtuachie Watoto wa Mjini!

    Chanzo sio ccm Chanzo ni mindset za viongozi Ukiangalia vyama vyote viongozi wana mindset zinazofanana
  5. O

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    🙄 Ngoja nipite sheli kwanza nikajaze wese kwenye bajaji, mwambie dj aweke ile nyimbo ya lugha gongana asifanye "chikichiki" aiache ilie mpaka mwisho
  6. O

    Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

    🙄 Hapa ukishavimbiwa ni mwendo wa kucheza na stop engine mpaka raia wa kutunza mazingira watengue kauli
  7. O

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    🙄 Asee una uwezo wa kununua iphone 13/14/15 alafu unachukua OPPO Reno 8 pro yenye chipset ya mediatek? kama kina infinix. Uwezo wa simu unaanzia kwenye chipset then vinginevyo kama ram,storage, camera na network vinafuata, Uwe unafuatilia specifications za simu kabla hujanunua. Ila kama ni...
  8. O

    Rais Museveni amteua mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa CDF

    🙄 Madaraka matamu sana mkuu Demokrasia tuwaachie mabeberu.
  9. O

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Tuko na moja ya chama na serikali yenye ufisadi zaidi duniani. Na kila mtu anavumilia hilo. Na mara tu mwanasiasa mwaminifu anapoonekana, kila mtu anaanza kumshambulia kwa mambo madogo ambayo hayana faida yoyote sababu hatuna ujasiri wa kweli wa kusimama imara. Wakubwa wanatetea maslahi yao...
  10. O

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    🙄 Nadhani wangeweka options muhusika achague either atapokea lump sum au malipo ya kila mwezi.
  11. O

    Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    🙄 Early 30s ndio umri wenyewe wa ndoa. labda ungekuwa 40s uko kuwa na wasiwasi ingekuwa halali. Cha msingi ukipata watoto hakikisha unawapambania ili wakifika 20s wawe na maisha yanayoeleweka. Ila nikukumbushe ndoa tamu mwanzoni Yani ukimwambia mwenzio "nakupenda" unajibiwa kwa mahaba yote...
  12. O

    Loving you Mahondaw

    Hivi Smart911 na Mahondaw ni watu wawili tofauti au mtu mmoja mwenye ID mbili?
Back
Top Bottom