Recent content by ORBIT

  1. O

    Watoto wangu wananifilisi

    Hayo sio malezi kama unavyodai. Unawaogopa wanao. Pole sana.
  2. O

    [Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

    Hivi wanaume nyie mnajifikiria nn hasa? Kazi yenu ni ipi basi? MAZA FA U CAN GO TO HELL OR ASK IF U DARE ASK UR MOMTO DO THAT. KWELI SOME PEOPLE R IDIOTS. TUNAWASAMEHE BURE TU
  3. O

    Mke wangu kanuna baada ya kumpiga kibao!

    We mjinga kweli umeebda bila kuaga unafikiti ye malaika ajue? Hukujus roho yske ilikuwa inskuwaza tu na wasi2 muda wote? Hicho kibao ndio zawadi uliyomletea ya au ni ua la kuomba samahani ya kusafiri ghaflabila taarifa? Ingawaje ht yeye hakuw sahihi kufanya vile. Angetoka tu kukupokea nk. Hebu...
  4. O

    Barua ya wazi kwa Mh.Ndalichako, Waziri wa Elimu

    At last mh. Rais ameona kazi yako nzuri na jitihada zako za kupigania elimu hadi akakuweka kwenye usimamizi wa wizara hii myeti. Unapigania kulitoa taifa hili toka moja ya matatizo sugu 3 ambayo baba wa taifa aliyaainisha toka kitambo. Bila elimu kweli tutazidi kuwa watumwa wa wenye elimu na hii...
  5. O

    Kwa huu upuuzi hivi nikipiga nitashitakiwa?

    Mimi ni ke nachukia wanaume legelege hivi jmn lol. Huyo mkeo hajielewi. Moja toa amri na sio ombi. Binti aondoke hrk iwezekanavyo toa ultimatum. Pili yeye ahaahakikieza iko tayari na maji moto bafuni tayari watoto kila kitu ready. Vinginevyo aamue ndoa au kwao. Wamama tunaharibu nyumba zetu jmn...
  6. O

    Naomba msaada wa OS ya iPhone

    Nawashukuru wote kwa michango yenu hatimaye nimefanikiea sasa hv iko vzr. Shukrani wakuu wote
  7. O

    Naomba msaada wa OS ya iPhone

    C Ndiyo nilidownload itunes lkn imegoma anyother way pse nakosa amani jmn
  8. O

    Naomba msaada wa OS ya iPhone

    Nduyo niliyotumia kifuka nusu ina crash
  9. O

    Naomba msaada wa OS ya iPhone

    Sihawai iphine 6
  10. O

    Naomba msaada wa OS ya iPhone

    Wadau naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurudisha OS y iPhone yangu imekufa. Toka juzi najaribu ikifika karibu kumaliza inakufa tena. Inarestore almost 90% kisha inakwamia hapo. Tafadhali naomba mwenye maujuzi anitoe kwenye dhahama hii maana narudi kwenye ujima. Thanking u in advance.
  11. O

    TCRA yaweka namba ya kucheki simu fake! Kuanzia tarehe 17 June simu zote fake kufungiwa

    Huu nauita upuuzi tu. TCRA hawajielewi. Mtakumbuka tuliwahi pigishwa foleni kusajili line? Nini kilifuata? Uongo mtupu. Sasa wanaondoa simu fake eti tuma IMEI halafu hawatoi ufafanuzi eti kamahaioani Kuoana kivipi mboma hawaelezi? Yaani hii nchi ni kama ya zombies maana hayo ndio hufanya vitu...
  12. O

    Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

    Jamani jinamizi likikuandama halikuachi mpaka utubu dhambi ya awali. ESCROW alinasa akanasuliwa je hili mafuta atatokea wapi? Nani atamsafish? Kma sio eneo lake la kazi ilikuwaje atoe agizo la kufunguliwa pump? Hii nchi ( njii hii) kweli ni mazingaombwe. Inanikumbusha habari ya jamaa mmoja...
  13. O

    Huyu baba nampenda lakini hanielewi

    Hee kasheshe! Haya baki na ukauxu wako mpk upate wa kukutoa huko. Yupoataekusifia na kuupenda huo ukauzu wako zaidi ya dagaa
  14. O

    Huyu baba nampenda lakini hanielewi

    Ndio manake. Ahsante kwa ushauri. Nawe uee unamsifiasifia wako utaona mabalalik haaaa haaaaa teh teh
  15. O

    Huyu baba nampenda lakini hanielewi

    Huyu ndiye ndie niliyemuona. Huyo mwingine wa kwsko macho yangu yalimuons huyu. Sio lazima nikimsifia nae anisifie kwa njia hii hii pengine ana njia yake nyingine ya kunijaza sifa. Ttz lako unataka ushindani kati ya ke na me, haviendi hivyo aisee. Usione wivu hujasifiwa ni kwa sababu hujawahi...
Back
Top Bottom