Barua ya wazi kwa Mh.Ndalichako, Waziri wa Elimu

ORBIT

Member
Dec 10, 2015
29
16
At last mh. Rais ameona kazi yako nzuri na jitihada zako za kupigania elimu hadi akakuweka kwenye usimamizi wa wizara hii myeti. Unapigania kulitoa taifa hili toka moja ya matatizo sugu 3 ambayo baba wa taifa aliyaainisha toka kitambo. Bila elimu kweli tutazidi kuwa watumwa wa wenye elimu na hii inajidhihirisha ktk maeneo na sektabalimbali. Mfumo wetu wa elimu una mambo mengi ya kufanyia kazi. Nikiona vile ambavyo walimu wanafunzi wazazi ma viongozi wanavyochangia ktk elimu hapo ndipo naona mgongano mkubwa. Nina mengi ya kuchangia lkn kuandika yote hapa naona yatakuchosha kusoma utabahatisha kusoma. Nilikuwa napitia English Syllabus ya primary niliona madudu huko nikachoka. Nimepita baadhi ya shule nikachoka kbs. Hivi kweli nursery wana syllabus? Jamani huko watoto wanapotoshwa sana sana. Anakaririshwa vitu isisvyo. Pitia huko mama yangu. Naomba ukisoma hii unipe japo dk 10 tu ya kuongea nawe ana kwa ana huenda tukaponesha jibu moja kwa kulitumbua vizuri kulitibu kw dawa stahiki. Nakutakia kila la kheri ktk majukumu yako magumu.
 
Nahisi hata sisi wananchi wa kawaida tunaanza kuuvaa UZALENDO sasa!,
Big up Orbit
 
Back
Top Bottom