Recent content by optimista

  1. optimista

    Serikali ya Rais Magufuli ina upendeleo maalum kwa Paul Makonda? Kwanini hili liwe la kipekee kwake?

    Sasa kwa ulivyo mkejer mweshimiwa rais na polisi wakaamua kukutafuta na kukukamata ukapekekwa mahakaman na kuhukumiwa utasema serikal inakuonea? Mm naomba kama huna cha kujib si lazima utukane watu siovizur na huu sio utamadun wa mtanzania. Ifike mahar tubadilike na sio kudharirisha watu pasipo...
  2. optimista

    Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

    Chezea simha wewe. Hatacukilala chal simba anauwezo wa kujua mapigo yako ya moyo yanavyopiga. Sasa wee danganya watu walale uone kama hawajageuka chakula
  3. optimista

    Darassa, Diamond wanarushiana maneno kimtindo

    Haya mambo ya kichonganish yameshapitwa na wakat achen dalasa afanye kazi. Kama mleta uzi utaendelea kufuatilia mambo yasiokuhusu kunasiku itatuletea sir za majumban kwa watu ambapo sio kitu kizur. Tufanye kaz tujenge nchi
  4. optimista

    Umeshajiuliza mwaka 2017 utakuaje ukilinganisha na mwaka 2015

    Naam wana jamvi nachukua fulsa ya kuwatakia hel ya mwaka mpya 2017 kwa wote watakao baahatika kuuona. Kwa kuwa tunamaliza mwaka 2016 na tumeona mengi sana yametokea kwa kupitia serekal yetu kuna mazur mengi na pia yapo mabaya Hakika kwa mawazo yangu ya haraka wanajamvi nawaza na kutafakar...
  5. optimista

    Serikali kampuni za udalali tunakufa njaaaa

    Najua udalal ni fani kama zilivyo fan zingine. Kama mambo yamebana jarib kubadilisha upepo kwenye fan zingine kwa kuwa fulsa bado zipo nyingi ndugu yangu. Tuliza akir pambana na mazingira utafanikiwa
  6. optimista

    Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

    Mjumbe nimekupata kwel. Lazima kwa pamoja tuwe na mawazo chanya na sio ya mgando kwa sababu tanzania ni yetu sis wasafi na siyo ya waahafidhina ambao wanataka kuinangamiza. Big up mjumbe nimekukubali kwa kuwa am optimista
  7. optimista

    Kuendesha gari Tanzania ni kukaribisha umaskini wa kupindukia

    Kiukwel wakat mwingine touch zinatesa sana hasa wakat unasafir kwa safr ndefu. Nakumbuka nilitoka mwanza kuja dar kwa private car mwendo wa 50speed ulinisababishia usingiz wakat naendesha. Ndipo nikaja na utaratib wa kutembea usiku. Ni mgum lakin afadhar kwa sababu fain zanaumiza sana. So kama...
  8. optimista

    Jokate hatoweza kulea mzigo wa watoto 3 wa Alikiba

    Tuachen wa mambo yasiotuhusu. Mapenzi ya watu wawil wewe inakuhusu nn baki na wako kama wengine wavyobaki na wao
  9. optimista

    Bomu hatari duniani lipo Russia!!

    Nahisi swala la mabom na vita sio kipaumbele chetu. Nahisi. Kama nchi mabom yetu yanatakiwa kuwa afya nzur, maji safi na salama pamoja elim ya uhakika
  10. optimista

    Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Wacha ikusanye hiyo kodi si kwa maendeleo yetu jaman
  11. optimista

    Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Rasilimal iliyopo iathaminishwa kwa thamanvya pesa iliyopo sasa. Mfano aridhi kila siku inapanda thaman leo tuseme heka 1 ni 10000 na kesho serekal imebadilisha 10000 kuwa 1000 kwa huyo huoni ndio chanzo kuua nchi
  12. optimista

    Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Kwa sasa pesa anayothaminishwa dunian ni dola ya marakani na ndio inayokubalika duniani na hii ni kutokana na nguv ya uchumi wa malekani. Kwa hiyo thaman ya pesa yetu inathaminishwa kwa kupitia kupanda na kushuka kwa dola. Sasa ukisema 5000 ushushe kuwa 500 hiyo kiuchumi haipo
  13. optimista

    Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Haiwezekani kufanya hivyo. Serekal ikitanya hivyo itakwenda kinyume na mifumo ya uchumi duniani hivyo serekali itakua masikini, biashar nchini itakufa, mfumuko wa bei utaongezeka. Kinachotakiwa kuongeza thaman ya pesa yetu ni kuongeza uzalishaji viwandan, kuondoa pesa haram na kuweka pesa kwenye...
  14. optimista

    Nabaki na Ukatoliki wangu. Mchungaji ameniogopesha

    Mchungaji ni binadamu kama walivyo binadamu wengine kama utaka hayo mambo pambana kuzuia. Hata huku kwetu katoliki wapo wenye machafu kama mchungaji wako tena zaidi ya unavyowaza. Ushaul wangu simamamia nidham yako
Back
Top Bottom