Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,506
- 103,164
Mwenye kuelewa naomba anielimishe leo nimekwenda ofisi za star time kurecharge king'amuzi changu ns nikapewa risiti halali computerized lakini nipoikaguwa risiti sehemu ya VAT ni 00 je ningependa kujuwa hawa Star times ni kwa nini hawakatwi VAT kwenye haya mauzo ya airtime?