Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Kulala chali kifudi fudi ndio kulalaje sasa sijakusoma vizuri yaani utalalaje chali kifudi fudi
 
  • Thanks
Reactions: nao
muulize bushmen atakwambia ye alivomuona alifanyaje
 
Chezea simha wewe. Hatacukilala chal simba anauwezo wa kujua mapigo yako ya moyo yanavyopiga. Sasa wee danganya watu walale uone kama hawajageuka chakula
 
Simba!! temea mate chini, kama wewe ni mkiristu piga alama ya msalaba na muombe radhi Yesu kwa kumtembelea bila taarifa , na kama wewe ni Muislam soma Ayat al kurusiy iko kwenye surat al bakara
2:255
 
Tuliingia Ngorongoro crater kwa kutumia lile WARBUS, Mnyama aliunguruma kama 50m kutoka tulipokuwa! Tafadhali mtoa mada, acha kabisa. Tunayofanyiwa na Juma yanatosha, usizidi kutuvuruga.
 
Kwanza huko kukunusa pekee ni nusu kifo... Mi naona maadam hajakuona panda juu mti
 
Humjui simba wala tabia na asili zao.
Zile ndevu za simba ni kama hile kipimo avaachcho daktari .akikunusa anajua huyu mtu au mnyama ashakata roho.
Hiyo staili yako ndugu utakua hujamuokoa mtu bali umemteketeza
 
Kaka simba ni shughuli nyingine, Jamaa mwenye gari alimuona Simba kalala barabarani, jamaa akajifungia ndani kimya akawa anasubiri matokeo
image.jpg


Jamaa wa Bodaboda akaona jamaa kapaki njianai na anamuwekea usiku, akaja na maspeed yake akaipita gari, kutaamaki uso kwa uso na Mzee wa pori, na mwili wa Bianadamu ulivyo hata kama ulikuwa hujapata choo wiki nzima hapo lazima kitoke kitu laini kabisa, inawezekana jamaa alienda kuitupa suruali mbele ya safari
image.jpg


Mpaka mzee anasimama bodaboda alishatokomea kwenye mapori
image.jpg


Simba!! temea mate chini, kama wewe ni mkiristu piga alama ya msalaba na muombe radhi Yesu kwa kumtembelea bila taarifa , na kama wewe ni Muislam soma Ayat al kurusiy iko kwenye surat al bakara
 
Fimbo au gongo ndio silaha yko

Huwezi kutembea porini bila hata ya silaha ,

Ukiwa na fimbo hakuna mnyama wa kukusunmbua porini isipokuwa faru na Tembo
 
Hii mada inachekesha kwa kweli eti lala Chali kifudifudi!.
Sio kila kitu unachoambiwa kiko sahihi ndugu, Simba hafanyiwi upumbavu huo alafu mi naona ni bora ukutane na Chui kuliko huyo Mnyama!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom