Recent content by Oppotunity

  1. O

    JamiiForums Tanzania kwa vyuo vikuu vyote vya Tanzania

    serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania imepunguza ada ya vyuo vikuu vyote vya serikali na private kwa asilimia 40 kwa faculty zote. Taarifa hii limetolewa rasmi na tume ya vyuo vikuu vya tanzani na imethibitishwa kwamba viwango hivyo vipya vya ada vitaanza kutumika rasmi mwaka wa masomo...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Hp 4520s Probook For Sale

    Brand: Hp Probook Model No: 4520s Harddisk:500gb SATA, Ram4gb, ddr3 Speed: 2.4ghz, Core i3 Screen 15.6inch,webcam, wireless & dvd room. x x x bei ni Tsh 650,000/= imetumika kidogo na iko kwenye good conditions na haisumbui battery. mimi napatikana mbezi dar, your all...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Jinsi Voucher za Simu Zinavyo tengenezwa

    sasa ndio unakuja kunitangaza huku?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Laptops and Mobile phones for sale

    weka bei, unpatikana wapi?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Namna Ya Kuepuka Garama Na Usumbufu Wa Kuingiza Mzigo Kupitia Banda Ya Dae Es Salaam

    Wana Jf Habari Zenu. Mara nyingi nimekuwa nikiagiza bidhaa mbali mbali kutoka nje ya tanzania ila kero kubwa imekuwa ni makato makubwa yanayotozwa pale bandarini bila kuzingatia viwango halisi vya ushuru wa bidhaa yenyewe. Licha ya hapo kuna usumbufu mkubwa sana tangu bidhaa inapowasili hadi...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wa lecturer amenipenda sana ghafla

    acha uboya piga buku madem kibao kitaa ukiendekeza sana hawa viumbe inakula kwako mkuu tena demu wa lecture?...mshike sana elimu usimwache aende zake
  7. O

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    je wajua sauti zina rangi mbali mbali hivyo kumwezesha mtu asiyekuwa na uwezo wa kusikia kuzitambua sauti hizo kwa kuangalia na ku analyse rangi zake?
  8. O

    JamiiForums Tanzania Andika sentensi ifuatayo katika wingi

    mashabiki wa timu ya simba wana wakezao!
  9. O

    JamiiForums Tanzania apartment inahitajika dar es salaam

    habari wana jf natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mikocheni A,msasani au karibu na masaki. nyumba iwe self contained ya kawaida na bei isizidi laki nne kwa mwezi. mwenye taarifa yoyote juu ya hili naomba anijulishe tafadhali natanguliza shukrani.
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ineed a girlfriend

    Mbona Vigezo ni Vyepesi sana? au kwa kuwa ni kwa matumizi ya Muda mfupi tu! ....no! sio kwa matumizi ya muda mfupi i wish to go far with her if we will understand each other.
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ineed a girlfriend

    This is very serious, I'm looking for a girl friend aged 20-23, HIV (-) who respect herself, good looking, a bit tall, living in Dar. I,m 25 yrs, 6ft tall, deep voice, HIV (-) ,a bit white. so please send me a pm.
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi sauti ya mwanaume nayo ni kigezo cha kupendwa na mwanamke?

    namtaka mdada mmoja aje pm ku evaluate my voice...you wont regreat!
  13. O

    JamiiForums Tanzania Msaada Wizara Ya Ujenzi

    Salam Ndugu Wana Jf Naomba Mwenye Kujua Full Postal Adress Ya Wizara Ya Ujenzi Anipatie Tafadhali Ninaihitaji Sana Na Nipo Mbali Na Offisi Zao. Natanguliza Shukrani
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kufanya Uamuzi Huu Ili Nijisomeshe...Msaada Tafadhali!!

    ; ; i want to be a winner so i must dare to try. leo leo naenda posta i hope god will make a way for me asante mkuu!!
  15. O

    JamiiForums Tanzania Nimeamua Kufanya Uamuzi Huu Ili Nijisomeshe...Msaada Tafadhali!!

    ; ; nimekuelewa ndugu asante kwa ushauri wako mzuri i will work on it!!!
Back
Top Bottom