Mpenzi wa lecturer amenipenda sana ghafla

Mpenzi wa lecturer amenipenda sana ghafla

Huyu msichana inasadikika anatoka na lecturer wa hapa chuo,amekuwa akionesha kunipenda.

So najiuliza kuna ubaya wowote nitakuwa nimefanya kutoka nae sababu na mimi nampenda sana.

mkuu chuo gani tena hicho?
 
kuwa nae hata lecturer hawezi kukufanya kitu,si mmependana nyie
 
Malecture wengi wanangoma..wamepata kwa watoto wa mama salma
 
acha uboya piga buku madem kibao kitaa ukiendekeza sana hawa viumbe inakula kwako mkuu tena demu wa lecture?...mshike sana elimu usimwache aende zake
 
acha uboya piga buku madem kibao kitaa ukiendekeza sana hawa viumbe inakula kwako mkuu tena demu wa lecture?...mshike sana elimu usimwache aende zake

Dem waukweli uliyetoka nae huko ulikotoka !

Sio hawa unaokutana nao chuo Hujui wametoka wapi na mimagonjwa kibao !

''Kila aliye nyuma na mbele yako ana UKIMWI kasoro wewe''
 
Kwani kuna ubaya sana ukipata gonjwa au uki-disco..!?
 
soma dogo usije ukatoka na degree 2!!!!!!!!!!!!!???????????//
:sick::sick:
 
Back
Top Bottom