Recent content by Opida

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananitesa jamani

    caroline u have to understand that this man is here for help not anything else,have you ever been told that you are uncultured?Do you know the meaning of frastration?pliz style up.To u boy she has gone just that way so you have to find another girl though they say that first love is the real...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumnunulia hawara kitanda na godoro ni njia sahihi ya kumdhibiti asiwe na bwana mwingine???

    kumnunulia msichana kitanda na godoro ni kumtakia usaliti mwema.Utashangaa siku moja ukikuta libuzi limekaa kitandani halina mawazo,what will you do?
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania liverpool fc

    mashabiki wa liverpool mpo,je Suarez anabaki au anasepa arsenal?
  4. O

    JamiiForums Tanzania RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

    Kagame lazima atakeradhi rais wetu.Miaka hayo yote wakimbizi wake wanalishwa hapa Tz na sasa anatugeuka na kutoa maneno hayo kwa rais mwenye ubinadamu.................tenda wema nenda zako,usisubirie ahsante.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa rais Kikwete kwa rais Kagame waungwa mkono kwa asilimia 100 na wasomi hapa nchini

    Hongera rais Kikwete,kwasababu unaangalia the consequnces ya vita.kama unapinga kauli ya rais basi hauna utu ndani mwako
  6. O

    JamiiForums Tanzania Nabii Flora wa Mbezi Beach

    Huu ndo mwisho wa dunia.-umbuka imeandikwa kua kutatokea manabii wengi waongo,makanisa mengi,vita kati ya nchi na nchi na haya yote tuna yaona leo.Jipange sasa.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful to marry

    je unajua kwamba hata mamake Mwalimu Nyerere alikua mjaluo?
  8. O

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful to marry

    nipo hapa
  9. O

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful to marry

    je unafahamu mbunge wa rorya?Lameck Airo ni mjaluo,Ezekia Wenje ,pia
  10. O

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful to marry

    Luo tribe wanaishi mkoa wa mara,Tarime
  11. O

    JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful to marry

    I am Michael Odero,twenty two years old.Am a luo tribe ,Tanzanian,currently staying at Lamadi.I am ateacher by proffesion and working in a private school.Am looking for a girl who is between 18-20 years old ,beautiful,of any colour,form 4 or O level leaver and any other qualification that suit...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani ni mzuri kuishi?

    karibuni mara.tarime inatisha sana.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Vijana wauana jijini mbeya wakigombania penzi la msichana

    wanaume acheni upumbavu,waschana ni wengi xana
Back
Top Bottom