Tumshukuru Mungu kwa kila jambo na aliekupa wewe ndyo kamnyima yule. Zari inajulikana kabisa alikua anamlenga nani, kuzaa si kupata unaeza zaa wakawa mashoga mwisho ufe kwa stress umuache hai yule ambae hajazaa. Mungu wajaalie wote wasio bahatika kupata watoto waweze kupata watoto.
Usinikumbushe mimi nimemfuma juzi anakula chakula cha mtt wangu ambaye ana miez 8, nikakaa kimya. Sasa ikabidi nimuulize pembeni mwanangu mkubwa kuhusu tabia za dadi, yaan kumbe huwa anakula vyakula vya mtoto cjui uji, cerelac , maziwa yaan chochote atachopika cha mtoto anaenda nae pasu kwa...
Daah umenikumbusha mbali sana na hiyo Hiace ya Kazaliwa macca. Nilikaa Moro miaka 4 wakati nasoma Kigurunyembe. ukitoa Dar na Mbeya napenda kuishi Moro.
Nipo kwenye ndoa mwaka wa 9 sasa ila cm ya mume wangu naikagua kama mtaalam wa IT ingawa ni pale ninapojickia kufanya ivyo, huyo anaesema sijui wa miaka 10 wana ivi na huyo wa 6 kakosea nadhan hana hoja.
Kwanza mdada anapata ujasiri gani wa kumuomba mume wangu vocha?? Anapata ujasiri gani wa kumuuliza yupo wapi?? Mimi angeondoka muda huo huo. Kuhusu mume nisingemuuliza chochote kuwa kaongea na nani, ningekaa kimya mpaka tufike naomba simu najifanya nataka kupiga nascreenshot najitumia...
DAME ilikua zamani sio sasa, alivyotoka gerezani akajifanya analeta enzi kama za zamani ubabe wa kijinga. Watoto wa kiume kama 9 ivi wakamtatua marinda vizuri na picha juu toka siku hyo kawa mpole balaa, usifanye mchezo mbabe akaolewa
Mtoto wangu ana miezi 7, wakati ana miezi 2 kitovu kikaanza kutanuka nikaambiwa nichukue shilingi niweke. Nikachukua sh 200 nikaiviringisha plasta nikambandika yaan sijaamini kitovu kimeingia ndani, wakati nilikua mbishi kweli nilikua siamin kama ni kitu kinachowezekana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.