chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Wanawake wilaya ya Rungwe huko Mbeya wanatumia nyaya kuvukia mto kwa kukosa miundombinu ya daraja kuvukia.
Wanawake hao wameonekana kuvuka daraja hilo huku wakiwa na mizigo kama vile makapu na watoto waliobebwa mgongoni jambo ambalo ni la hatari.
Nanaiasa serikali na wananchi wenye uwezo kufanya mchango ili daraja la kuvukia mto huu lijengwe wanaonekana kwenye video hii.
=====================================================================
uzi wangu naona umeleta impact. wamechukua hatua wahusika na pongezi Jamiiforums imepewa
Hongera JamiiForums kwa kuongelea Matatizo ya Mto Mbaka, Serikali imechukua hatua