Recent content by opala

  1. opala

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    Ndio yeye na Wana Simba walifurah kinoma Leo kimewaramba
  2. opala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mwanamke ukimuonyeshea udhaifu wa kumpenda sana na kumjali anakusumbua

    Kwel mapenzi hisia...wakati mm hapa mtoto analia na kutamani hata kesho niende Kwao kujitambulisha
  3. opala

    JamiiForums Tanzania Nalipongeza Sana Jeshi La Polisi Nchini Kwa kuendelea Kumshikilia na Kumhoji Mdude Nyagali

    ww jamaa ni muuaji pamoja na hao polis
  4. opala

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Kujiuliza Kuhusu Tukio la kuvamiwa nyumbani Padri Dkt. Charles Kitima wa Kanisa Katoliki Tanzania

    Lissu alipigwa risasi maeneo ya bunge yenye ulinzi na CCTV masaa 24 fisiemu wakiamua mambo hawashindwi
  5. opala

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali za kukuwezesha kutunza kipato chako

    Sasa ukilala mpaka saa 7 utafanya kaz saa ngapi?
  6. opala

    JamiiForums Tanzania Siombei Chadema waruhusiwe kushiriki Uchaguzi mkuu kwa sababu Promo ya bure wanayopata ni Kampeni Tosha ya Kuwajenga!

    ww kunguni chadema haijasambaratika ila ni maficcm ndy yanachanganywa na chadema
  7. opala

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni ishara ya mabadiliko makubwa kwenye mindset za waTanzania?

    Jamaa katoa comments hazipo tena
  8. opala

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Wanawake wana nidhamu ya pesa kuliko sisi Wanaume

    Uzi uishie hapa wewe ndio umeongea point
  9. opala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awaonya Makhulukutabu wa Nchi, Mjipange Hatutavumilia

    Kenge kama kenge
  10. opala

    JamiiForums Tanzania Je Chama hakina wajibu hoja?

    Aliyekuzaa ana shida sana what a waste sperm
  11. opala

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC ni wakati wenu wa kuongoza Maandamano nchi nzima tupate Siasa Safi, Utawala wa Sheria, Maendeleo thabiti ya Mwananchi. NO REFORMS NO ELECTION!

    TATIZO ULE MWENGE UNAOPITA KILA MWAKA NDIO UCHAWI WENYEWE...WANATUROGA MNO WATU WANAKUWA WAOGA
  12. opala

    JamiiForums Tanzania Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Samahani naomba kuuliza Kuna platform inaitwa FKC cryptocurrency trading signal ni real au scammers nisije kuweka hela umo
  13. opala

    JamiiForums Tanzania Iwe heri kwako Bro Mabeste katika ndoa yako

    Kibibi kizee kipi Cha TURIN ama??
  14. opala

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu kozi ya International Relations and Diplomacy

    Hujasikia maagizo ya waziri mkuu...NENDA VETA
  15. opala

    JamiiForums Tanzania Stephen Curry afikisha Ppints 4000 NBA

    Mfalme ni Michael Jordan
Back
Top Bottom