Recent content by only you

  1. only you

    JamiiForums Tanzania Clinical officer vs medical laboratory

    Hello Naomba kujua vyuo vya serikali vinavyotoa mafunzo ya uuguzi kwa ngazi ya cheti.nina mdogo wangu anapenda hiyo fani ana ufaulu wa Biology C ,Chem C,Math D,physic D,English D. Naomba kujua na muda wa kufanya maombi
  2. only you

    JamiiForums Tanzania Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

    [emoji23][emoji23]
  3. only you

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa NIDA na rushwa ndogo ndogo

    Kwani kwa Dar washaanza uandikishaji?vituo viko maeneo gani?
  4. only you

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa muda wa usajili vyuo vya kilimo na mifugo MATI

    Habari zenu wakuu Naomba kujuzwa namna ya kuomba nafasi na muda wa usajili kwenye vyuo vya kilimo na mifugo MATI) Mdogo wenu anataka kwenda kusoma huko Naomba kuwasilisha
  5. only you

    JamiiForums Tanzania Hili group la damu linanitesa sana, naomba ushauri

    Rudi kapime tena
  6. only you

    JamiiForums Tanzania UDART tunaomba mtusamehe wakazi wa Kimara na Mbezi

    Pole sana mkuu
  7. only you

    JamiiForums Tanzania UDART tunaomba mtusamehe wakazi wa Kimara na Mbezi

    Kama kuna kosa lolote tulilifanya kwenu nyie wamiliki na management ya UDART tunaomba mtusamehe,tunahitaji usafiri uwe kwa wakati tunakaa kituoni muda mrefu kusubiri magari yenu ya thamani ,huku mkiwa mmeyapaki kwenye yard zenu na nauli zetu mshachukua .
  8. only you

    JamiiForums Tanzania TCRA: Mna taarifa na utapeli unao fanywa na Tigo kupitia huduma ya Tigopesa?

    Nilisha acha kutumia tigo kwa sababu hii.nenda TCRA watakusaidia na tatizo litatatuliwa Siku hiyo hiyo .
  9. only you

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuache unafiki tuseme ukweli tu, mke mwenza akifariki utalia?

    Me nadhan alilia sana kwa sababu labda hawakupata muda wa kuombana msamaha kwa mambo Yao yaliopita ,pia mwenzie kafa akiwa anajifungua Kama mwanamke lazima uhumie.mbaya halisi na wema hakosi tukumbuke
  10. only you

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    Hii ndugu yangu hata inanitesa sana ,sikulelewa na Mama na baba ingawa wako pamoja hadi Leo .nililelewa na bibi na mjomba basi mapenzi yangu yote yako kwa bibi. Naumia muda mwingine nawezaje kumfanya mamangu rafiki maana hata nae Hana mapenzi na ukaribu na Mimi .sasa na Mimi ni Mama .
  11. only you

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amuacha mumewe baada ya kujua anafanya mapenzi kinyume na maumbile

    Unamfunga diaper Na mchezo unaendelea
  12. only you

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SINGLE (S) special's thread

    Waguna Tena?
  13. only you

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SINGLE (S) special's thread

    Single married
  14. only you

    JamiiForums Tanzania AJALI: Watu kadhaa wafariki wakitokea Rombo kwenye Miaka 40 ya CCM

    Serious??[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Back
Top Bottom