Clinical officer vs medical laboratory

Clinical officer vs medical laboratory

Hello Naomba kujua vyuo vya serikali vinavyotoa mafunzo ya uuguzi kwa ngazi ya cheti.nina mdogo wangu anapenda hiyo fani ana ufaulu wa Biology C ,Chem C,Math D,physic D,English D.

Naomba kujua na muda wa kufanya maombi
 
Back
Top Bottom