Scania katisha[
View attachment 733773 View attachment 733774
Sasa utalinganisha muonekano huu wa 2018 na huu wa generation ya nyuma. Hebu cheki utumbo wa 2012-2017
View attachment 733775
Haya ndiyo matatizo ya wabongo....hela za madafu mtu anag'ang'ania jini subiani la mafuta GX 110 au Alteza.....Alteza nayo gari au Jeneza???Kwani gari kuwa na sense of bitchness ni lazima ibebe mimba mkuu? Gari jinsi ilivyo tu styling & design inaweza ikakukataa kidume.
Huwezi kumkuta mwanaume rijali mwenye mawe amekalia RAV 4 tena za previous generations 1999-2016 ni aibu sana. Vidume wanasukuma LX 76 series, Prado, Lexus 570 ama Land Cruiser 200 vx v8. Wale ambao hela ipo kidogo wanakaa kwenye V6 yoyote iwe Gx110,Brevis,Mark X ama Crown au Altezza. Hela za kuunga unga ni heri ukae kwenye Kluger mle ufiche aibu au Suzuki Escudo.
Kinyume na hapo lazma uwe kwenye gari ya kimama tu!
Nakubaliana na wewe...Toyota hata mimi sizipendi hata nikute imekaa vipi...kwa mfano kuna hivi vinaitwa ist vimekuwa sare kama sketi za shule...Me kampuni ya gari ikishaitwa Toyota naona kama nyanya, bodi zake ni nyepesi sana.
Sawa sawa kiongoziHaya ndiyo matatizo ya wabongo....hela za madafu mtu anag'ang'ania jini subiani la mafuta GX 110 au Alteza.....Alteza nayo gari au Jeneza???
Wenzetu India wanabebana kwenye bajaji na bado ni wanaume kuliko hao unaowaona ni wanaume..
Torati gani inasema mwanaume lazima apush land cruiser??.
Sikushangai coz kuna mtu kapanga chumba cha 15000/- uswahilini lqkini anamiliki prado.
hakuna gari la kike wala la kiume kwa sababu hakuna gariblenye UUME au UKE....magari yotebni sawa na ndiyo maana wote tunauziwa petrol bei moja...
kila mtu anakuna pale anapofikia...
Aisee, hio scania nini mkuu. Iko musupaaa!Scania katishaView attachment 739190
MendeAisee, hio scania nini mkuu. Iko musupaaa!
Kwani hizo design unazohisi ni za kike zinabeba mimba? Mbona tunaendesha hatuoni papuchi mle.
Wabongo tuna shidaHaya ndiyo matatizo ya wabongo....hela za madafu mtu anag'ang'ania jini subiani la mafuta GX 110 au Alteza.....Alteza nayo gari au Jeneza???
Wenzetu India wanabebana kwenye bajaji na bado ni wanaume kuliko hao unaowaona ni wanaume..
Torati gani inasema mwanaume lazima apush land cruiser??.
Sikushangai coz kuna mtu kapanga chumba cha 15000/- uswahilini lqkini anamiliki prado.
hakuna gari la kike wala la kiume kwa sababu hakuna gariblenye UUME au UKE....magari yotebni sawa na ndiyo maana wote tunauziwa petrol bei moja...
kila mtu anakuna pale anapofikia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa kaelewa huyo, sema kapiga kimya. Halafu ndio tabia ya Toyota haters wengi utaskia body zake laini sasa unajiuliza mtu kama huyu si angenunua kifaru aendeshe maana ndio gari pekee lenye body gumu lisilopitisha bomu wala moto ndani.
Tunazisubiri 2025Konzi tu gari linabonyea.....ndio maana zikibinuka tu zinaua.
Kwenye Kluger ndo sikai kabisa, ni afadhali niendeshe Kirikuu.Una kuta mtoto wa kiume amejaa kwenye Ist,sehemu zake za siri zimejikunyata utadhani mtoto wa Dar katupwa sehemu za baridi Mufindi.Mtoto wa kiume unanenepeana kwenye Nadia,Noah,Passo,na vigari vingine vya aina hiyo kisa?!!! Eti ulaji wa mafuta ni mdogo kwenye misele... Mtoto wa kiume unaendesha gari linalo kunywa mafuta kwa kutumia kijiko cha chai?
Siwezi kuendesha gari linalo sababisha tumbo linapakatwa na mapaja,kwani ndo chanzo cha nguvu za kiume(uume na mapumb...muda wote yanapikwa kwa joto) kupungua.
Hivi escudo ipi ambayo ni tamu mkuu.. vipi escudo lenye cc2000 unywaji wake.. uimara wake rodini na na vipuri vyake..Kwani gari kuwa na sense of bitchness ni lazima ibebe mimba mkuu? Gari jinsi ilivyo tu styling & design inaweza ikakukataa kidume.
Huwezi kumkuta mwanaume rijali mwenye mawe amekalia RAV 4 tena za previous generations 1999-2016 ni aibu sana. Vidume wanasukuma LX 76 series, Prado, Lexus 570 ama Land Cruiser 200 vx v8. Wale ambao hela ipo kidogo wanakaa kwenye V6 yoyote iwe Gx110,Brevis,Mark X ama Crown au Altezza. Hela za kuunga unga ni heri ukae kwenye Kluger mle ufiche aibu au Suzuki Escudo.
Kinyume na hapo lazma uwe kwenye gari ya kimama tu!
Suzuki 4×4 ni gari ngumu maana hazina marembo mingi ya kutumia umeme kama Europian brand vehicles.Hivi escudo ipi ambayo ni tamu mkuu.. vipi escudo lenye cc2000 unywaji wake.. uimara wake rodini na na vipuri vyake..
Then kuna escudo zingine naona zimeandikwa SALOMON hizi ni edition za wapi mkuu.View attachment 846536View attachment 846537View attachment 846538
Sent using Jamii Forums mobile app