Recent content by Only 1 Kalu

  1. Only 1 Kalu

    Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

    Magomeni mikumi ipo bucha karibu na sokoni
  2. Only 1 Kalu

    Kutoka Ajira 40,000 hadi ajira 9,000; hii imekaaje?

    Ajira 40000 ziliahidiwa katika mwaka fedha ujao ikumbukwe mwaka wa fedha wa serikal huanza June mpka may mwaka unaofuata kwahyo hiz ajira ni za kuziba kma Mhe. Alivyoahid mwanzon wala si ajira mpyaw
  3. Only 1 Kalu

    Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

    Sijui nan mkubwa ila hao usalama si wapo kila sehem hata majeshin
  4. Only 1 Kalu

    Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

    Kwa ualimu pekee ni zaidi ya laki moja maana serikal haijaajiri kwa miaka mingi kwa laki tano labda na sekta nyingine ila hiyo takwimu ya graduate 1200 sio kwel ni chache mno
  5. Only 1 Kalu

    Ili kuboresha elimu, Serikali iachane na mpango wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti 'grade A'

    Mbona vigezo vya kujisomea ualimu vilishabadilishwa upo dunia gani ndugu?
  6. Only 1 Kalu

    Kwanini Makamu wa Rais hasemi "Bwana Asifiwe"?

    Kimsingi asalaam aleikum sio salamu ya kiislamu hii ni salamu ya watu wa Masharik ya Kati ikimaanisha kuna amani kumbuka salamu hii ilitumiwa hata na Yesu kristo
  7. Only 1 Kalu

    GE2020 Suala la ajira ndio litamuondoa Rais Magufuli madarakani hasa vijana ambao ndio wengi

    Sawa vipi madaktar na walimu nao wafanye ujasiriamal!?
  8. Only 1 Kalu

    Maulizo juu ya ajira mpya 2020

    Hizi ajira za ualimu huwa zinaratibiwa na Tamisemi sekretarieti ya ajira haihusiki
  9. Only 1 Kalu

    Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

    Shida itakuja kutokea baadae vijana wataacha kusoma ualimu na baadae kutatokea tatizo la upungufu wa walimu maana watu wanasoma kitu ambacho ktamnufaisha si kwa Passion
  10. Only 1 Kalu

    Helanya: Jambazi sugu, mshirikina alombaka Mama yake

    Nakumbuka andazi liliuzwa sh 10 mpaka 20 tena Dsm Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Only 1 Kalu

    Helanya: Jambazi sugu, mshirikina alombaka Mama yake

    Kabisa huyu jamaa yey ndo mtot miak ya 2000 andaz tulikuwa tunanunua sh 10 mpaka sh 20 chai pia ilkuwa hivyohivyo na hata sh 5 ukienda dukan ilkuwa inatumika andazi mtaan limeanza kuuzwa mia na kuendelea miak ya karibun nakumbuk enz hzo naagizwa maandaz ya 200 napewa 11 moja la nyongeza Sent...
Back
Top Bottom