Helanya: Jambazi sugu, mshirikina alombaka Mama yake

Kabisa huyu jamaa yey ndo mtot miak ya 2000 andaz tulikuwa tunanunua sh 10 mpaka sh 20 chai pia ilkuwa hivyohivyo na hata sh 5 ukienda dukan ilkuwa inatumika andazi mtaan limeanza kuuzwa mia na kuendelea miak ya karibun nakumbuk enz hzo naagizwa maandaz ya 200 napewa 11 moja la nyongeza
Wewe sasa ndio mtoto haswaa. Hujui kuwa kuna mahali miaka hiyo andazi lilikuwa sh 5 (sorry wewe hata mia mbili ya noti hujaikuta itakuwa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka andazi liliuzwa sh 10 mpaka 20 tena Dsm
Sio kweli hata kidogo.

Mwaka 2000 hakuna kitu Cha shilingi 5 na shilingi 5 yenyewe haikuwepo

Wala kitu Cha shilingi kumi...

Andazi kwa shilingi Mia sawa....sio shilingi tano bwana weee.

Nimesoma sekondari miaka ya tisini sijanunua kibama shilingi 5 wala kumi, ni shilingi 20 hicho kibama ni chakula cha bei ya chini, iwe mwaka 2000

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo helanya alifufuka?
Inaendeleaa............

The Final Tragedy

Baada ya Mlango kuvunjwa na Helanya kukutwa akiwa mwenye kupata nguvu ari kwa haraka zaidi, wakati huo akiwa anajisogeza ukutani ili aushike ukuta kisha ayeyuke kama theruji juani, Raia wakamtoa kwa Speend ya Light mpaka uwanja wa Shule.

Kuna Jamaa alikua anatokea Lugongoni (Kitongoji), alikua kaja na mbwa mkali sana Jamaa alikua na panga akamkata helanya sehem ya Mguu nahisi ilikua kwemye paja, Kisha akampa Mbwa ile Nyama mbwa alitoka speed na ile nyama mpaka pembeni mwa uwanja lakini akila nyama inabaki vile vile. Raia wakasema hii namba mbovu ikipona lazima tuhame, tushayakoroga hapa, Aiseee Raia walikusanyika kila mtu akihitaji ampige helanya. watu walimgawa gawa mwingine mkono mwingine kidole mara kisigino as long as kufisambaratisha viungo vya muheshimiwa Jambazi.

Askari wakajaribu tena kupiga risasi hewani, Lakin wakati huu hakuna mtu alieondoka, Wajeda wakaona isiwe tabu wakawaacha raia wenye hasira kali.

Mwenye shoka, panga au Jembe alikua akiufika Mwili wa Helanya anaukata, hovyo hovyo baada ya dk chache Helanya alikua kageuzwa Bucha.

Kuna jamaa alichua jiwe kubwa sana Akampiga Helanya kichwani,... Aiseeee watu wanaufundi, kichwa kiligeuka kama chapati huku sehem ya kisogo kukiwa na kioo, kidogo kikapasuka,.. Kila mtu alishangaa ni kwa namna gani kioo kiliweza kuingia kichwani. Kumbe hilo lilikua ni jicho la nyuma. Hiko kioo kilimsaidia kutazama kutokea Chuma,.. Duuu kio kimepasuka kutekea ndani ya kichwa cha binadamu.

Pia, mbali na kioo kulikua na matunda flan hivi, kwa pale Kijijini tizoea kuita Mturuturu, Ni vitunda vidogo vidogo vya duara vyenye rangi nyekunduku na dua leusi,. tulikua tukitumia kucheza mchezo wa mturuturu, yaan ni mchezo wa kuchora namba kwa kutumia mchanga eg. 1 af unakapisha katikati ya mchanga then unakaacha mahala, af ile namba una unaigawa mafungo. watu wanachagua fungo mbili akikosa unachagua ww ulipokaacha then unaenda namba mbili mpaka kumi.

so kulikua na kias kikubwa cha mituruturu kwenye kichwa cha helanya ambapo hata ungepima ungepata nusu au robo kilo,.. Shida sio mturuturu lakin Je iliwezaje kuingia kichwani hasa sehem za Ubongo. La hau laaaaaa Kijiji kilimamaaa kwa dakika kadhaaa, wakati huo ni saa moja usiku lakin giza halijawa kali bado maana kwa kigoma jua huchelewa kuzama.

ilipokaribia saa mbili usiku Uongozi wa kijiji uliafikiana kueza kuzika Mabaki ya Mwili wa Helanya, Wakachimba Kaburi pembeni kwenye eneo la zahanati kisha wakaufukia kisha wakaandika Report kuwa Ameuwa na Wanachi wenye hasira kali.

Watu walilala kwa tension sana, maana hawakujua kama alieuliwa ni yeye kweli au lazima usiku huo kungekua na mauza uza kijijini.

Kesho yake majira ya saa nnr asubuhi tunaingia shule, maana Sisi darasa letu lilikua ni la mchana,. tunakuta watu wange maeneo ya Zahanati tukaenda kutazama. Kufika tunaona kabuli tupu,. Kucheki Mazingira kila mtu yuko roho juu,.. Shida nini?? Aiseee Mwanaume hayupo alipozikwa. Watu Wameamka asubuhi kabuli liko tupu. Japo inasemakana Wachawi ndio waliolifukua.

Lakini ilibaki taharuki, Maana wengine waliamini kuwa Helanya ni Mzima tena kutoka kaburini.

Kijiji kilisimama Kwa Masiku fulani,.. kwa hofu. nani angesahau kirahisi ile kauli ya Helanya kuwa Akipona kijiji Chote kihame?.

Aiseee Dunia ina Mambo mengi sana. lakini "It's an End that Justifies the Means"

Wasalam,.

Kila sifa Njema Zina mstahiki Mwenyezimungu Alieviumba Vitu vyote na Kuvikadiria Mwishowe.

Ametakasika yeye pekee na Ufalme ni wake yeye.

Ahsanteni sana kwa kunivumilia, kwa kila dosari ilojitokeza katika uandishi.

Safi sana... Story nzuri...

Chapter Closed...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom