Hakuna ajira zozote zitakazo toka kama unabisha endelea kusubiri uone. Wameshindwa kuajiri polisi wasaidie kusimamia uchaguzi ndio waje kuajiri walimu ambao mpaka sasa hivi wapo likizo ya corona?






Ndio ukweli huo mkuu
Kweli make hata hzo ajira walitanga toka mwaka jana nashangaa mpaka leo hazijawekwa mezaniNdio ukweli huo mkuu
Wabongo kwa kujifanya wajuaji mwana anapambana bado mnajifanya wajuaji, ungekua Co-founder wa JF tungekuelewa your platform your rules, we have all been there acha watu wafanye kilichobora kwao, kama anapambana na anahisi bado ajira kwake muhimu let him be.Kwa hivyo unakiri kua elimu uliyoipata haijakusaidia kupambana na mazingira yako mpaka ubebwe tena na ajira?
Hizi ajira za ualimu huwa zinaratibiwa na Tamisemi sekretarieti ya ajira haihusikiSidhani kama TAMISEMI wanahusika moja kwa moja katika hili. TAMISEMI kazi yao ni kuwasilisha idadi ya nafasi za kazi kwa sekritarieti ya ajira. Hawa ndio wanasimamia na kuratibu ajira za utumishi wa umma kwa sasa. Kuanzia application, interview hadi allocation.
Not sure kama waalimu wanakuaga na interview nadhani wao ni application na allocation moja kwa moja kama madaktari.
Ushahuri wangu kama hakuna interview kwenye ualimu kama kada zingine basi connection unayotakiwa kuipata ni kule sekretarieti ya ajira wanapofanya allocation za ajira.
Anaweza Unganisha na ualimu kweli
Mkuu wa shule ana nguvu ya ushawishi Tamisemi na wengi hufanya hivyo,nimeshuhudia walimu kama 4 wa sayansi wameajiriwa katika shule walizojitolea kutokana na kufanyiwa mchongo na mkuu wa shuleSiku hizi mwenye kibali cha ajira za ualimu ni raisi na tamisemi wala siyo afisa elimu.