Wakuu,
Tuseme ukweli. Kwa sasa ajira zimekuwa ngumu sana kupatikana. Mbaya zaidi hakuna mpango kazi ulio bayana kwenye mamlaka za nchi maalum kwa ajili ya kutatua tatizo hili.
Ila pamoja na hali hii Dunia huwa ipo fair sana ukitazama kwa jicho la tatu. Kwamba, pale unapohisi milango yote ya kutokea imefungwa, lkn ukweli ni kuwa Dunia sio katili hivyo, lazima kuna mlango mmoja upo wazi kabisa kuupita, ingawa kunahitajika nguvu ya ziada kuubaini, mbaya zaidi ni kwamba panahitajika nguvu ya ziada zaidi kupita kwenye huo mlango ulio wazi, na hapa ndipo wengi hukwama na kukwama kabisa, na kudhani wamekwisha kabisa hapa Duniani.
Mfano, Kwa nyakati hizi ajira ni ishu kweli kweli, tena ishu haswa, lakini kuna mlango mmoja ambao upo wazi saa 24 kwa kila siku tayari kupokea na kumpitisha yeyote yule aliye tayari kupita. 'Marketing'.
Nyakati ngumu za ajira kama ilivyo kwa sasa watu wengi huibuka na mawazo mbali mbali ambazo huziundia projects. Sasa kutokana na uhalisia kuwa wengi hawana mitaji ya kutosha na hivyo hivyo wateja wachache ama hawapo kabisa kutokana na nguvu ndogo kipesa ya kufanya marketing.
Sasa, watu hawa wanachofanya ni kuhitaji marketing crew itakayokuwa na kazi moja tu ya kufanya marketing kwa ajili ya kutambulisha project kwenye Jamii.
Mara nyingi crew hii inayohitajika huwa na a very minimum requirement hasa kwa upande wa elimu na experience. Hata waliomaliza darasa la 7 wana fit kabisa. Huu ndio mlango ulio wazi kwenye Dunia ngumu ya ajira.
Ajabu ni kwamba, wengi wa watu wasio na ajira hawataki masuala haya ya marketing kutokana na ukweli kuwa unalipwa kutokana na return ya kazi yako. Yaani leta mteja ndo upate ujira wako. Wengi wasio na ajira hawapendi hiki kitu. Na wasichokijua ni kwamba huyo mwenye project hana hela ya kuwalipa kama mshahara, wala hana hela ya kufanya marketing kwenye media mbali mbali. Ndio maana akatumia option hiyo ya kuunda marketing crew kwa ajili ya kufanikisha project yake.
Nachosema ni kwamba tukubali kuutabika katika kupigania ndoto zenu kupitia marketing maana ndio mlango pekee ulio wazi. Fanyia marketing ideas za jamaa wengine, projects za watu wengine Dunia haitakusahau. Vinginevyo.......
Nawakumbusha tu kuwa kila mwaka watu wasio na ajira wanazidi kumiminika toka vyuo mbali mbali. Watu wanaojiajiri wanazidi kuongezeka kila siku.
Jiulize wewe utakuwa wapi miaka kadhaa ijayo kama hali itaendelea kuwa hivi hivi ilivyo?????
Namalizia kwa kusema: Wakuu, tujitahidi kujishikiza kwenye ishus za marketing tusione aibu wala kujistukia. Tu push projects za wengine na kupitia projects hizo na sisi tutaboa haya maisha.
Kutoka:
Damage Control Room.