Recent content by Onesmo Lawrence

  1. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

    Nimejifunza mengi kupitia uzi huu. Kwa ufupi tuzidi kumwomba Mungu atubariki tuishi maisha marefu yenye amani, upendo,furaha na mafanikio tunayoyatarajia🙏🙏
  2. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania Kenya: Mfanyakazi atoweka baada ya kutumia fedha za bosi wake kubet na kuliwa

    Mimi niliachaga kubet. Maana kuna wakati unakula na inakupa hamasa, lakini siku ukiliwa unaliwa kwelikweli tena unapopategemea kushinda ndo panaharibikia hapo. Mambo yote yanaharibika kabsa.
  3. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania Manyara: Baba aua mwanaye kwa kipigo akimtuhumu kumtukana

    asilimia kubwa Vijana wanaudhi sana.
  4. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wananchi wanaenda kupata fedha nyingi, watazoea makato

    Sio kweli kuhusu wanyiramba. Matatizo ya mtu binafsi hayana uhusiano na kabila analotokea. Kama yeye umeona ana mapungufu usihusishe na watu wa kabila analotokea kuwa wote ni sawa.
  5. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Kijana wa miaka 30 Zororo Makamba afariki dunia kwa Corona

    Hii ni habari mbaya kwa waafrica tunaoamini COVID 19 haiui waafrica especially kwa wenye afya zisizo na matatizo tofauti na covid19
  6. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kenny Rogers Mwanamuziki mkongwe, gwiji wa miziki ya Country, afariki

    Ukizungumzia nyimbo za country lazima utauhusisha wimbo wa THE GAMBLER, Hakika wimbo huo umekuwa burudani na faraja kwa wasikilizaji wengi wa nyimbo za country. R.I.P Kenny Rogers (my favourite country musician)
  7. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuru: Mke amchoma kisu na kumuua mume wake aliyekuwa akimzuia kuondoka

    Tatizo mwanamke bado ni binti, kwahiyo kama akili hazipo anajiona yeye yupo juu na anaweza kuolewa kwingine. Ujana unamsumbua., sasa ataenda segelea.
  8. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania Njia 16 za asili za kuondoa sumu mwilini

    Hiyo namba 13 nitaizingatia zaidi😝😃😄
  9. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya kumdekeza mtoto wa pekee kwenye familia

    Hata mtoto wa kwanza na mwisho kuzaliwa huwa wanakuwa sawa na hizi sifa zilizoainishwa. Halikadhalika mtoto aliezaliwa akiwa ni aidha wa kike au kiume pekee katika uzao wa watoto wengi nayo inaingia humo. Wengi wao wanakuwa hivyo. Matokeo yake wanashindwa hata kujitegemea kimaisha hasa suala la...
  10. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania Siku ya UKIMWI Duniani: Watu Milioni 74.9 wameugua ugonjwa huo tangu ulipogundulika

    Kama kweli UKIMWI ulitengenezwa na BINADAMU. Basi Aliyeutengeneza UKIMWI alaaniwe sana.
  11. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Tanzania Misingi 4 Ya Kuifahamu Kabla Hujaanza Biashara

    Ujumbe mzuri sana. Tatizo msimamizi wa biashara hasa kwa mtu ambae ni mfanyakazi wa serikali au mwenye shughuli nyingine tofauti na shughuli za Kiserikali.
  12. Onesmo Lawrence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kushamiri kwa birthday parties, ni ujinga na kuiga iga tu!

    😂😂
Back
Top Bottom