Well said GAZETI wakibadilishwa hawa tunaamia kwa walimu kwani haya ni makundi yenye wtz wengi na pia ushawishi kwa raia
Usisahau nafasi yao ktk zoezi zima la uchaguzi
Nashauri busara itumike katika hili,inawezekana kabisa huyu ni kati ya wale waliouelewa waraka wa Mwigamba sasa anaanza kuufanyia kazi,atiwe moyo badala ya kebehi.
Mi nahisi tukiwakaribisha hawa jamaa vizuri jamvin tutapata mengi sana yanayowahusu,mi naamini si wote hupiga wananchi kwa kupenda...
Msamehe bwana! ila mi nauza MAJENEZA ukianza kukohoa tu ni PM,Mungu anakupenda mwenyewe hujipendi wenzako kibao hawajabahatika kuona we unaonyeshwa unajitia upofu.
We ni gt bwana ebu jaribu kutoa hoja zenye mashiko na source,huu tunauona kama unafiki na chuki binafsi kwa HR, kwani kuna mbunge gani wa CUF hakumsema Lisu bungen?nani hakushangiliwa na magamba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.